Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20210405_214538.jpg
 
Nimekombolewa na yesu
Nimekua mtoto wake
Kombooooooo lewa komboooo leeewa
Mimi mwana wake wake
Nakombolewa na damu yake yesuu
Mimi mwana wake kwelii🎶

Ooh yesu wewe ni mungu
Ooh wewe ni baba🎶

Ukombozi ni nguvu yako baba
Ni mfalme wa ajabu
Na sasa najifurahisha katika neema yake🎶

Continue😴
 
Nimekombolewa na yesu
Nimekua mtoto wake
Kombooooooo lewa komboooo leeewa
Mimi mwana wake wake
Nakombolewa na damu yake yesuu
Mimi mwana wake kwelii[emoji445]

Ooh yesu wewe ni mungu
Ooh wewe ni baba[emoji445]

Ukombozi ni nguvu yako baba
Ni mfalme wa ajabu
Na sasa najifurahisha katika neema yake[emoji445]

Continue[emoji42]
Kukombolewa nafurahi
Kupita lugha kutamka
Kulionyesha pendo lake
Nimekuwa mtoto wake.
 
Back
Top Bottom