cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Yaan mno.Mapacha wana raha yake kwakweli.
Yaan mno.Mapacha wana raha yake kwakweli.
AmeeeeenIpo siku nitakuja panapo uzima.
Hahah acha kabisaah yaan, UE ilikua poaah, zimamoto tulikua kazini haswaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu dear, habari ya UE ?ulipotea humu ndiyo mambo ya zima moto nini[emoji23]
Sasa usiku wa manane ndo mzuri.wew deal na mtakatifu hana shidaTatizo unakuja usiku mnene unakuta nishapiga Hennessey zangu unakuta nimeshalala.
Next time uje Bara tu 😋
Mtakatifu ndo mzuri.mpe nafasi atoe msaada 😆😆😆😆Umeshindwa kunihudumia mgeni miye hadi natafuta msaada kwa majirani.
Next time nitakutumia flight tu uje Bara lakini sio Mimi kukufuata 😜
Mimi nilikuwa katibu wa zimamoto[emoji1787]Hahah acha kabisaah yaan, UE ilikua poaah, zimamoto tulikua kazini haswaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeee usiniambie bhana 😁Njoo piemu [emoji41][emoji8]
Msaada ataupata kwa Mungu Baba mwenyezi.Mtakatifu ndo mzuri.mpe nafasi atoe msaada [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji38][emoji38][emoji38]Vipi kaka ako bado hajapata muchumba.sharti awe anapumua tu[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba unaratibu mambo yote?Mimi nilikuwa katibu wa zimamoto[emoji1787]
Vilikuwa vidunchu kweli😁😁😁😅😅😅😅
Eti visungura. Kila la kheri.
😅😁😁😁muone...😂😂😂😂 Huenda mwandiko, ni kweli!!!
Ndani ya Pipa la Majini
😆😆😆😆Msaada ataupata kwa Mungu Baba mwenyezi.
Yaani mida kama hii mimi ndio kunakucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba unaratibu mambo yote?
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe hadi waganga sometimes huwa mnapata muda wa kuenjoy maisha[emoji3] Doctor unakunywa imported wines aisee kilingeni kunalipaa[emoji6]
Mambo ya kuamshwa usiku wa manane kwa ajili ya maombi ya kuliombea Taifa kila siku sina hakika kama nitaweza. Unless akubali awe mke wa nne🙊😅.Sasa usiku wa manane ndo mzuri.wew deal na mtakatifu hana shida