donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Triplets [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1744192View attachment 1744195View attachment 1744193View attachment 1744194View attachment 1744196View attachment 1744197
Jamani😭😭🙆Tz tuna amiri jeshi mwanamke tayari.
Hopefully atashughulikia na mitima yenu[emoji3]
Dah namimi nikipata hawa ni safi kabisa naua ndege 3 kwa jiwe moja sema kuwakuza hawa ni utachezeshwa gwaride mpaka ukome.
Sijambo sana, naona ukimya kama wote tu.
😄😄😄 now yes!!Ushaamka tayari? ...[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Honestly nilikula mpaka nikashiba ndii ☺☺ Ila wenzangu walitisha zaidi 😀😀Utafikiri umekula kweli kumbe sahani yako si ajabu umedonoa donoa tu kama ilivyo kawaida yako. Yaani kuna wakati naangaliaga jinsi unavyogusa gusa vyakula tu na kuviacha mpaka roho inaniuma yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaka yangu alipata kama hao inamaanisha na mimi ninaweza pia... Vipi sasa tuongee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah namimi nikipata hawa ni safi kabisa naua ndege 3 kwa jiwe moja sema kuwakuza hawa ni utachezeshwa gwaride mpaka ukome.
Hahaha, lazima ujipange mkuuDah namimi nikipata hawa ni safi kabisa naua ndege 3 kwa jiwe moja sema kuwakuza hawa ni utachezeshwa gwaride mpaka ukome.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah wewe leo wewe[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!😋🚶🚶🚶🚶
Nikaribishe siku moja nije nionje mapishi yako soulimeti [emoji16]Acha wivu na vyakila vya Lizzy[emoji3]
Karibu salimeti, hii ni homemade mkono wangu mwenyewe 😀😀Nikaribishe siku moja nije nionje mapishi yako soulimeti [emoji16]
Vipi boss!!?!Jamani[emoji24][emoji24][emoji134]
Mimi huwa natamani wawili.Dah namimi nikipata hawa ni safi kabisa naua ndege 3 kwa jiwe moja sema kuwakuza hawa ni utachezeshwa gwaride mpaka ukome.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka yangu alipata kama hao inamaanisha na mimi ninaweza pia... Vipi sasa tuongee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]