cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Yaaan bhana litalokuwa na liwe tyuuh, hakna namna mweeeeehPumzikeni tu!
Siku matokeo yakitoka itajulikana mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaan bhana litalokuwa na liwe tyuuh, hakna namna mweeeeehPumzikeni tu!
Siku matokeo yakitoka itajulikana mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nili miss vitu vyako yaan dea.
Umekanyoa kipara jamani[emoji23][emoji23]his eyes baada ya kumwambia kwa kufoka weeee unaenda wapi???[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1743520
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Team zimamoto muda huu tulikuwa tunaburudika tu baada ya kuzima Moto Usiku kucha kwa muda wa wiki 2[emoji1787]Yaaan bhana litalokuwa na liwe tyuuh, hakna namna mweeeeeh
Hapo Moshi mjini babu we [emoji108][emoji12]Hapa ni kibosho sehemu gani?[emoji854][emoji854][emoji854]
TumepokeaHappy Easter Sunday guys! You're all missed from this side 😍
He is risen Hallelujah!,[emoji7][emoji3531]Happy Easter Sunday guys! You're all missed from this side [emoji7]
Ushaamka tayari? ...[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Utafikiri umekula kweli kumbe sahani yako si ajabu umedonoa donoa tu kama ilivyo kawaida yako. Yaani kuna wakati naangaliaga jinsi unavyogusa gusa vyakula tu na kuviacha mpaka roho inaniuma yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
I want a son so bad. Please Jesus do something [emoji1545][emoji1545][emoji1545]his eyes baada ya kumwambia kwa kufoka weeee unaenda wapi???[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1743520
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kuna chungu kina ugali hapo au ni hii miyeyusho tu? [emoji51][emoji51][emoji51]Karibuni tufurahie kufufuka kwa mwana wa MariamView attachment 1742957
Kwa kuwa umesema, nitakwenda.Nenda tu mkuu.
Unapambana tu hadi mwisho.