Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikipambana kuwa na siksi paki utanifikiria? Unajua hata wale ng'ombe bado wamenidodea [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila kuwa na siksi paki kama za huyo ngosha mwenzangu itachukua muda sana wallahi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbele ya ng'ombe 70 nitakubali.
Labda ngosha awe na dau kubwa kukuzidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki ya Nani Bora sikuwepo.
Nguvu ya Mungu ilipungua humu nahisi ..wacha niende kushika wingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji779][emoji817][emoji625][emoji419].... Hawajui kuwa nyama ndogo ndio tamu? Si umeona sambusa? [emoji23]
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo utukumbuke katika ufalme wako sisi vibonge wepesi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]punguza bangi mdogo wangu
Naenda kuwashikia wingu huko mlimani.
Nimegundua humu wavuta bangi Ni wengi Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwemo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna chemistry formula ilikataa kidogo ila nshaweka mambo sawa sasa
Nimegundua nilikuwa sijasali asubuhi kabla ya kuingia humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi ukawa unayumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aiseee kimbunga kikali kimepita hapo juu..Bora sikuwepo maana na huu wembamba Haki ya Nani kingenibeba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anaitwa baharia mchomoa betri wa huku jf.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naomba nitoke kwenye huu Uzi.
Baharia wapi huyu koko tu, kwenye msafara wa mamba hata kenge utawakuta, hakuna kitu kinanikera kama mwanaume kujishaua mbele za watu hususani mbele za wanawake sijui ndiyo kujitafutia umaarafu, tena anajifanya wa matawi ya juu nyau kweli huyu, eti kujinadi mwenye vitu vizuri ni ujinga sana mbaya zaidi ana dharau za kama za mademu,
 
Mkuu ulikata tamaa mpaka ulitaka kuji murder ? Life is too precious to hold on dont kill yourself for cheap reasons
 
Hahahaa. Nitafutieni tu mume. Bata zangu mie sio za gharama maana nalipiwa kila kitu hata msione wivu sio hela yangu ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unene unapungua mwaya. Nakimbia nipungue kidogo. Sema sipendi wembamba pia
 
Kwaherini ..
Humu kimbunga kinaweza kurudi muda wowote.
Brother mshana usipulize dawa zako tafadhali....
Naenda kushika wingu huko....ukipuliza tutachanganya mambo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nasifia sana jamani. Rafiki zangu washaniambiaga mi sio kipimo kizuri cha kuongelea uzuri. Wanasema mi nasifia kila mtu
 
Mbona unatushusha hivyo dear?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…