Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Calm down mkuu usifukuzane na upepo this is jf ni fake plus fakero.
Picha nyingi zitumwazo ni fake kama zilivyo id fake
Picha nyingi zitumwazo ni fake kama zilivyo id fake
Ahsante, Inakuaje unanitukania Mama yangu kisa picha niliyoweka kuna uhusiano gani wa hiyo picha na mama yangu?? Why usini attack mimi kama mimi...
Wakati mwingine unapotaka kuchangia wazo lako epuka sana kuhusisha wazazi, ningekuona una hekima na busara kama usingetanguliza hilo tusi hapo juu...
Pili, hiyo picha sio ya Mtu wangu nilitaka kupima mentality zenu humu ndani na nimewapatia vizuri tu najua mnatamani sana kumfahamu, ila kwa kukusaidia jua ni mzuri wa wastani na anajitambua vyema tofouti na nyie humu ndani...








