Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante, Inakuaje unanitukania Mama yangu kisa picha niliyoweka kuna uhusiano gani wa hiyo picha na mama yangu?? Why usini attack mimi kama mimi...

Wakati mwingine unapotaka kuchangia wazo lako epuka sana kuhusisha wazazi, ningekuona una hekima na busara kama usingetanguliza hilo tusi hapo juu...

Pili, hiyo picha sio ya Mtu wangu nilitaka kupima mentality zenu humu ndani na nimewapatia vizuri tu najua mnatamani sana kumfahamu, ila kwa kukusaidia jua ni mzuri wa wastani na anajitambua vyema tofouti na nyie humu ndani...
Ila umeyataka brothermen, mpaka mama yako ametukanwa hilo ni kosa lako, unajishebedua kitu gani humu JF wakati watu humu ndani kila kitu ni fake kujisifiasifia kama wa kike unaboa sana, umefanya mpaka nimefuatilia kisa hichi nikagundua kosa lipo kwako, kuna watu na wadhifa zao lakini wametulia tuli sasa wewe ndugu yangu mpaka unaweka ligi na wadada how comes chalii,
 
Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...

Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...

Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...

Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...

Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...

NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
Nia na madhumuni yako ni uzi ufutwe au?

Sidhani kama kuna mwanamke humu anahitaji kujua unafanya nini au unaingia wapi, au mkeo ni nani na ana nini,,

Tuheshimiane tu maana hali zetu kimaisha zinafanana, sijui ishu za natumia simu hii ukamdhihaki anaetumia ile ni ushamba na ulimbukeni

Waliokukosea wafate pm kwao wape vidonge vyao,, unasema wanawake wa humu, mkeo, mama shangazi, dada zako, marafiki zako penginepo hata maboss zako wako humu maana yake wote hao tunafanana akili na waliokukosea?
 
Jamani me huyu nishamsoma muda tu Jana baada ya kukwambia amnunulie bi Dada REMOVER nikabadilishiwa mada juu kwa juu ' mtoto wa singida aishiwi utamu na vbla bla ikabidi nilike tu then nikatulia.

My dia ili sio lengo LA Uzi wa Mshana Jr emu achana nae
Depal hebu tumuaibishe shetani... If you don't mind tuachane na haya malumbano tafadhali
 
Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...

Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...

Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...

Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...

Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...

NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
So funny wallah 😂😂😂 hivi lile neno CASE CLOSED hujalielewa au ubishi?!!

Emu tulia basi!!
 
Naona unajitutumua kwelikweli kwa movenment uliyoifanya Rafiki yangu, wewe jua nilikugundua muda tu, nikaona nikuweke karibu zaidi ili baadae nikukamate vizuri.

They say " Keep your friends close and your enemies closer" Ndio nilichofanya na nimefanikiwa kuwapoteza 100%.

Naona nilivyokuwa nakuchangamkia ukaona ndio umenikamata hasa mimi Cardiovascular hata ningekufuata PM mimi sio mjinga kiasi hicho nikurushie picha ya mtu wangu, na ile picha niliweka kimakusudi nione mnavyofunguka na mmefunguka hasa ambacho ndio kitu nilichokuwa nataka.

Just a reminder picha niliyoweka haina uhusiano wowote na mimi ukitaka jina la huyo mdada niliyoweka nitakupatia ukamchunguze vizuri best..
Cardiovascular fanya kama hili limeisha maisha yasonge tafadhali
 
Hapo sasa
me.jpeg
 
Ahsante, Inakuaje unanitukania Mama yangu kisa picha niliyoweka kuna uhusiano gani wa hiyo picha na mama yangu?? Why usini attack mimi kama mimi...

Wakati mwingine unapotaka kuchangia wazo lako epuka sana kuhusisha wazazi, ningekuona una hekima na busara kama usingetanguliza hilo tusi hapo juu...

Pili, hiyo picha sio ya Mtu wangu nilitaka kupima mentality zenu humu ndani na nimewapatia vizuri tu najua mnatamani sana kumfahamu, ila kwa kukusaidia jua ni mzuri wa wastani na anajitambua vyema tofouti na nyie humu ndani...
Siyo mtu wako lakini umemsifia kwahiyo kumbe unajua kuwa mwanamke anaweza akawa na kucha ndefu na akawa msafi tu si ndiyo??

Ndiyo siku nyingine ukome mdomo mtoto wa kiume umbea tuachie sisi watoto wa kike mtaja valishwa vijora bure mjini hapa shauri yenu!!
 
Sio kesi wala haikuwa na haja ya maelezo mareefu hivyo,
Naona unajitutumua kwelikweli kwa movenment uliyoifanya Rafiki yangu, wewe jua nilikugundua muda tu, nikaona nikuweke karibu zaidi ili baadae nikukamate vizuri.

They say " Keep your friends close and your enemies closer" Ndio nilichofanya na nimefanikiwa kuwapoteza 100%.

Naona nilivyokuwa nakuchangamkia ukaona ndio umenikamata hasa mimi Cardiovascular hata ningekufuata PM mimi sio mjinga kiasi hicho nikurushie picha ya mtu wangu, na ile picha niliweka kimakusudi nione mnavyofunguka na mmefunguka hasa ambacho ndio kitu nilichokuwa nataka.

Just a reminder picha niliyoweka haina uhusiano wowote na mimi ukitaka jina la huyo mdada niliyoweka nitakupatia ukamchunguze vizuri best..
 
Ila umeyataka brothermen, mpaka mama yako ametukanwa hilo ni kosa lako, unajishebedua kitu gani humu JF wakati watu humu ndani kila kitu ni fake kujisifiasifia kama wa kike unaboa sana, umefanya mpaka nimefuatilia kisa hichi nikagundua kosa lipo kwako, kuna watu na wadhifa zao lakini wametulia tuli sasa wewe ndugu yangu mpaka unaweka ligi na wadada how comes chalii,
Anaitwa baharia mchomoa betri wa huku jf.
Naomba nitoke kwenye huu Uzi.
 
Siyo mtu wako lakini umemsifia kwahiyo kumbe unajua kuwa mwanamke anaweza akawa na kucha ndefu na akawa msafi tu si ndiyo??

Ndiyo siku nyingine ukome mdomo mtoto wa kiume umbea tuachie sisi watoto wa kike mtaja valishwa vijora bure mjini hapa shauri yenu!!
Karma hili tumeshasema limeisha kuliendeleza hakutasaidia kitu zaidi ya kuumizana
 
Back
Top Bottom