Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmhh labda Mzumbe ya Moro au Dar maana mimi nimesoma ya Mbeya wazuri wanahesabika[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwangu mimi lakini
Mi najua kuhusu ya Moro & Dar... kuhusu Mbeya nilikuwa sijui kwa kweli😂😂
Ila ulipaswa useme kwa Mbeya wazuri 'tulikuwa tunahesabika' usijiache nje😂
 
Alhamic njema wakuu
IMG_20191003_071942.jpeg
 
Tatizo nishaondoka huko.
Usijali nitakupa mwenyeji.

Halafu huwezi amini..kukaa kwangu kote Dom hata bungeni sipajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usisiseme kwa nguvu 😂😂usinambie hujawai ingia mle ndani?
 
Back
Top Bottom