Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,445
Hebu huko. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️😄😄Mi Sina mbwembwe hata ya kidole tu chanitosha
Hebu huko. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️😄😄Mi Sina mbwembwe hata ya kidole tu chanitosha
embu tu niione kidogo maana wababa wengine ni wazuriUsijali. Wengine tuna sura za baba zetu.
Dah! Sawa tu🙆🏽♂️😔Hebu huko. 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Natamani nione picha ya gentamycine![]()
Imeshapitishwa hiyoUbarikiwe kwa kuuchangamsha na kuupamba uzi wetu,, nimeona mapicha picha kama yote nikajisemea ihiiiiiiiiii sipitwi,,
Una rangi nzuri, na mwili mzuri uupunguzepo, (navyojitia mama ushauri sasa), kingine itabidi tukufanyie kampeni tukupe mume hizi bata zako zinatuumiza roho ......Hahahaha karma kashaanza ikishindikana mi ntamalizia
Wapendwa leo nina kazi nzito tutaonana jioni, goodmorning
Nb; msifute picha mpaka nimegonga like
OohhHongera sana
Wengine twapenda wa dizaini hii
Haha hata hivyo nina mpango wa kuuza hii ili niongezee hela ninunue nyingine yenye storage kubwa zaidikweli
Itabidi kifanyike pambano humu mshindi apate simu mupyaa kabisa...tufanye mpango ushinde wewe
Mungu akaufanikishe mpango wakoHaha hata hivyo nina mpango wa kuuza hii ili niongezee hela ninunue nyingine yenye storage kubwa zaidi
Nani kasema?? Mie mwenyewe wale wale tu ndiyo maana nasema wazuri "walikuwa wanahesabika" lakini uzuri unatofautiana kati ya mtu na mtu maana mimi binafsi hadi mwanamke mwenzangu nimuone kama ni mzuri basi nimempitisha kwenye chujio hasaMi najua kuhusu ya Moro & Dar... kuhusu Mbeya nilikuwa sijui kwa kweli
Ila ulipaswa useme kwa Mbeya wazuri 'tulikuwa tunahesabika' usijiache nje![]()
Itafute ipo nimeirushaembu tu niione kidogo maana wababa wengine ni wazuri
Enzi za Kingo, Sophia, LT1, NAH au hizi za majija mapya ?Kabisa mkuu nasikia chuo kina watoto wazuri kile balaa!!
Sisi wengine tuliosoma Mzumbe tunacomment wapi??
Bangi siwezi kuacha kamwe.Teh teh..Acha bangi basi..
Mama D...Mate dada
Mpe hela akatengeneze kucha ziwe safi kama ulivotuhubiria ile siku kuhusu kucha.
Hata mimi nimeweka boss.Nilishaweka ila skumbuki post no ngapi... Wwe ndio umekuwa kagumu
Kumbe wanaruhusu kabisa kuingia??Usisiseme kwa nguvuusinambie hujawai ingia mle ndani?
Anatumia id gani mkuu??Siku hizi hatumii hiyo ID