Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Endelea tu kusogea Hadi cive ikiwezekana ng'ong'ona kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilishaondoka kitambo huko. .napambana na Hali yangu mtaani
Nenda katalii chimwaga.
[emoji1] [emoji1] haya college mate umenikumbusha several years ago mambo ya ng'ox/ujasi, those were my hoods. Habari za cafeteria zilinishinda
 
Hii ya kulalia wandugu. Kaka angu Mshana buku kumi langu kesho lisukumie kwneye namba yangu ileView attachment 1222276
Ubarikiwe kwa kuuchangamsha na kuupamba uzi wetu,, nimeona mapicha picha kama yote nikajisemea ihiiiiiiiiii sipitwi,,

Una rangi nzuri, na mwili mzuri uupunguzepo, (navyojitia mama ushauri sasa), kingine itabidi tukufanyie kampeni tukupe mume hizi bata zako zinatuumiza roho ......Hahahaha karma kashaanza ikishindikana mi ntamalizia

Wapendwa leo nina kazi nzito tutaonana jioni, goodmorning

Nb; msifute picha mpaka nimegonga like
 
Kazi nzito!! Haya kazi njema boss.
 
[emoji38][emoji38] mbona nasikia hata mzumbe visu vipo jameni?
Hata hivyo ifm ilikuwa zamani bana
Mmhh labda Mzumbe ya Moro au Dar maana mimi nimesoma ya Mbeya wazuri wanahesabika[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwangu mimi lakini
 
Woyooooooo
Napost na ya twin Depal[emoji7][emoji7][emoji7]

Twin njoo huku hatimaye tumekumbukwa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji2960]View attachment 1222089
Duuh.. Kumbe JF ni zaidi ya tuichukuliavyo[emoji23][emoji23][emoji23]!!

Basi itabidi nianze na mimi kuzurura zurura huko PMs kwa hivi vitu nnavyoviona hapa
 
Back
Top Bottom