Una bahati ya kufahamiana na watu makini sana ambao hawawezi kuvujisha picha zako hata iweje sie wengine tulishakosea njia saa hii picha zetu zishasambazwa huko
Yeah hawa wakongwe wengi wanafahamiana sana na wanaheshimiana sana hauwezi kukuta wanatangaza kijingajinga kuwa eti wanafahamiana! Shida ipo kwetu sisi wa juzi juzi nakwambia mtu akifahamiana na mtu hasa anayekubalika atataka jf nzima ijue!