Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ya kulalia wandugu. Kaka angu Mshana buku kumi langu kesho lisukumie kwneye namba yangu ile
IMG-20191003-WA0020.jpeg
 
Kuna kitu kinaitwa " skunk beer". Bia inapoteza ladha kwa kupigwa na mwanga wa jua, uv light.

Inatokea zaidi kwa beer za chupa, na chupa za kijani ndio zinaathirika zaidi. Beer za kopo ni ngumu kupata hiyo kitu.

Kama hizo imported beer ndio zaidi unaweza pata hizo mambo.

Sema piga monde mama, muda ndio huu.
Ya kopo hata sio tamu.. chupa mpango mzima
 
Back
Top Bottom