Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Hapana mkuu mie nimepiga Mzumbe ya MbeyaEnzi za Kingo, Sophia, LT1, NAH au hizi za majija mapya ?
Hapana mkuu mie nimepiga Mzumbe ya MbeyaEnzi za Kingo, Sophia, LT1, NAH au hizi za majija mapya ?
Kwani ni nini mbona kuni defend mapemaKweli kila shetani na mbuyu wake ningesema kitu lakini utasema ni wivu tu

Hahahaha banaa Mungu amemuumba binadam kwa umbo bora kabisa hakuna mbayaUsijali. Wengine tuna sura za baba zetu.
Naomba nirukeRuka mama nagawa 20k kwa kila picha na ulete mrejesho
Baba zetu ni wazuri, hakuna tatizo mkuuHahahaha banaa Mungu amemuumba binadam kwa umbo bora kabisa hakuna mbaya
Aiseee 😂Mpe hela akatengeneze kucha ziwe safi kama ulivotuhubiria ile siku kuhusu kucha.
Atoe hiyo rangi kabisa na kupaka nyingine au atoe kabisa.
😂😂😂😂 wanasemaga nyani haoni Ku........Mpe hela akatengeneze kucha ziwe safi kama ulivotuhubiria ile siku kuhusu kucha.
Atoe hiyo rangi kabisa na kupaka nyingine au atoe kabisa.
Nini sasaAiseee![]()

unakosea sana kutojikubali aisee..Nani kasema?? Mie mwenyewe wale wale tu ndiyo maana nasema wazuri "walikuwa wanahesabika" lakini uzuri unatofautiana kati ya mtu na mtu maana mimi binafsi hadi mwanamke mwenzangu nimuone kama ni mzuri basi nimempitisha kwenye chujio hasa
Yaani sifa nilizoziweka za mimi kusema kwamba huyu mwanamke kweli ni mzuri hata mimi sina hizo sifa ndiyo maana hata mimi sijihesabii kama ni mzuri na wala hata siku moja hauwezi nikuta najisifia kuwa eti mimi ni mzuri yaani sijawahi kujikubali!!
Ahsante... sijaona yako..Ulipotea, karibu tena
Si unavyomchamba wifi yako😂Nini sasa![]()
😂😂😂Acheni kuuchamba usingizi wa jamaa bana😂😂😂😂 wanasemaga nyani haoni Ku........
Yap ila kwa vibali, kuna masharti hadi wanaboa.Kumbe wanaruhusu kabisa kuingia??
Haswaaaa!wanasemaga nyani haoni Ku........
Bora hata hukuingia maana wale wabunge wasingekuacha hivi hiviYap ila kwa vibali, kuna masharti hadi wanaboa.
Ila ukiingia mle Bungeni ndani ukikalia vile viti kwa muda unasahau shida zako zote
Nilijikaza usiku nisiandike ila hapana siwezi kumezea kitu.Si unavyomchamba wifi yako![]()


Hahahah ni wewe unasema ila me sijaamua, sijataka kumboa kabisa😂😂😂Acheni kuuchamba usingizi wa jamaa bana
🤣🤣🤣🤣Nilijikaza usiku nisiandike ila hapana siwezi kumezea kitu.![]()
🤣🤣🤣🤣Nilijikaza usiku nisiandike ila hapana siwezi kumezea kitu.![]()