Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,200
Magari ya watu[emoji23]Ndan ya ndinga. [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Magari ya watu[emoji23]Ndan ya ndinga. [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Si ndiyo alikuwa ananichimba na kunichekea kinafikiKuna wakati alikuwa anakuquote sana.. Ina maana yote ile ilikuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na natamani ingekuwa Leo maana niliamka kisharishari...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!!Inasikitisha...Pole Dear.Si ndiyo alikuwa ananichimba na kunichekea kinafiki
Tumeamua kumstiri mwanamke mwenzetu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini naona tu kwa leo hakuna aliyekuwa tayari kumtaja wala kumuanika
Ahsante dear.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kama utamlipua mlipulie sehemu nyingine..kwenye huu uzi usifanyie malipuzi ukafungwa buree...bado tunauhitaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karma ebu njo pm [emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kula wewe acha ujinga [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakatifu nasi tupe tahadhari jamani loh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu karma ashanipa tahadhari halafu sasa Kuna kazi nafanya naye na picha zangu anaona kila siku.
Yes nasikia anatoa hadi za wenzake my dear! Tena bila kuulizwa yaani!Uwiiii kumbe hadi infoooo...Nilijua anazitoaga zake kwa wanaume wa humu kumbe hata za wenzake..!!!! Salaleeeh!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ninavyotishwa WhatsApp kama nimekuwa mtoto mdogo
Mi mwenyewe bado sijamjua ujue😅😅Huyu nani jamaniii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jamani natamani kumjua karma ebu kuja pm basi [emoji847]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Jamani acheni nileft tu sakayo atanipiga kasema hataki kuniona huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imebidi tuulizane Kwanza...