Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapendwa one thing you have to know hii ni jamii, kama ilivyo ada jamii huwa na kila aina ya watu. Na huyu mnaemnanga(mmegoma kuniambia) huo ndio udhaifu wake na ndio unamfanya kuwa binadamu. Sote hatujakamilika, mliowahi kuwa karibu nae ni vuema mkamwambia kile anachowakwaza hata akimind ukweli ashaupata. Maybe ni utoto au basi tu ni hulka yake

Hizi id fake zinatutengenezea personalities ambazo zinafanya watu watamani kukufahamu, japo wengine sie hatuna muda wa kuhangaika kufahamu watu ila wengine kwao ni big deal. Huo utofauti ndio unatufanya sie kuwa binadamu. Tusameheane tu, na maisha yaendelee.

Hata mkiongea vipi, atatokea mwingine tu wa kaliba hiyo hiyo. Sasa sijui tutaogopana hadi lini. Ila tujifunze tu kutunziana privacy zetu kwa wale waliamua kutuamini.
akili kubwa
 
Wapendwa one thing you have to know hii ni jamii, kama ilivyo ada jamii huwa na kila aina ya watu. Na huyu mnaemnanga(mmegoma kuniambia) huo ndio udhaifu wake na ndio unamfanya kuwa binadamu. Sote hatujakamilika, mliowahi kuwa karibu nae ni vyema mkamwambia kile anachowakwaza hata akimind ukweli ashaupata. Maybe ni utoto au basi tu ni hulka yake

Hizi id fake zinatutengenezea personalities ambazo zinafanya watu watamani kukufahamu, japo wengine sie hatuna muda wa kuhangaika kufahamu watu ila wengine kwao ni big deal. Huo utofauti ndio unatufanya sie kuwa binadamu. Tusameheane tu, na maisha yaendelee.

Hata mkiongea vipi, atatokea mwingine tu wa kaliba hiyo hiyo. Sasa sijui tutaogopana hadi lini. Ila tujifunze tu kutunziana privacy zetu kwa wale waliamua kutuamini.
Nimeamka kukojoa nakutana na mgazeti wa auntie yangu mwenyewe umejipinda

Ni hivi mwenyewe anajijua na anasoma aache hii tabia tena mimi biashara za kutafuta picha zangu ndio aachane nazo kabisa anifate mwenyewe kuniomba

Picha zangu za nini ugundue nini ushaniona na fake life jf mpaka utake kunijua humu naishi maisha yangu
 
Auntie na mimi naomba kapicha, haiwezekani utafutwe hivyo.
Ndo naisubiri hivyo, usijisahaulishe.
 
Back
Top Bottom