Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,276
- 95,555
Hahahaha, duhWanaume wa jf wambea nyie [emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, duhWanaume wa jf wambea nyie [emoji1787][emoji1787]
We mzee habari yakoHahahaha, duh
Salama kabisa Shangazi, naona wamekutibua ,pole sanaWe mzee habari yako
Kwahiyo unasubiri muda ambao mie sipo ndio ujipost eeh?Mbona nimepost leo muulize b'day girl me nashida basi na sura ya baba angu
Kawaida tu si unajua mambo ya jf we mzeeSalama kabisa Shangazi, naona wamekutibua ,pole sana
Hahahaha, najua sana ShangaziKawaida tu si unajua mambo ya jf we mzee
Ata ivyo unafanana na watu wengi.Mweeeh!! Kuna id fulani nayo niliambiwa ni yangu, basi taabu kweli kweli[emoji1787]
Kuna kauli uliwahi kuisema kuwa wanawake wa jf tunajifanya sijui vitu gani humu ndani wakati nje ya jf tuna maisha choka mbaya.Hahahaha, duh
Nipe mimi nikukule kipenzi sitakutangaza hata[emoji39][emoji39][emoji39].... Jokes aside inakuaje na nyie mnaingia miguu yote miwili mmekutana humu mtandaoni mnaanza kuaminiana [emoji817] [emoji817] [emoji817], muwe makini kwa mtu unaetaka kumuamini chukueni hatua kabla hamjaumizanaWanaume wa jf wambea nyie [emoji1787][emoji1787]
Sawa baba parokoNipe mimi nikukule kipenzi sitakutangaza hata[emoji39][emoji39][emoji39].... Jokes aside inakuaje na nyie mnaingia miguu yote miwili mmekutana humu mtandaoni mnaanza kuaminiana [emoji817] [emoji817] [emoji817], muwe makini kwa mtu unaetaka kumuamini chukueni hatua kabla hamjaumizana
Auntie yangu kumbe ndio maana unasakwa bwana, hebu niongeze na nyingine nilale mie.Nilipost hiyo View attachment 1657214
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie niacheeeeAuntie yangu kumbe ndio maana unasakwa bwana, hebu niongeze na nyingine nilale mie.
X mass uje kanisani nitaongoza ibada jimboniSawa baba paroko
Eti muwe makini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipe mimi nikukule kipenzi sitakutangaza hata[emoji39][emoji39][emoji39].... Jokes aside inakuaje na nyie mnaingia miguu yote miwili mmekutana humu mtandaoni mnaanza kuaminiana [emoji817] [emoji817] [emoji817], muwe makini kwa mtu unaetaka kumuamini chukueni hatua kabla hamjaumizana
Unipe na sadaka piaX mass uje kanisani nitaongoza ibada jimboni
Nakuachaje na haujanitumia nyingine, au unataka nami nianze kupata kazi ya kuzitafuta huko duniani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Auntie niacheeee
Nimekumbuka ni @kariha alicoment nikaambiwa ni id yangu nyingine[emoji1787][emoji1787]Ata ivyo unafanana na watu wengi.
Positive.. Ili likitokea baya basi linakua sehemu ya mategemeo....Eti muwe makini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana we haya mambo ni kama gonjwa la UKIMWI kiiila siku tunashauriwa kadha wa kadha ila bado twafwaa.
Haya mambo huwa sometime hayana umakini, huyohuyo unayejiona umekuwa makini kumbe ndio tatizo.
Maisha ni betting, kuna kula na kuliwa. Sasa ukiliwa ndio hivyo unajipa moyo maisha yanasonga.
Nafungu la kumi[emoji847]Unipe na sadaka pia
Hadi itikadi[emoji16]Nimekumbuka ni @kariha alicoment nikaambiwa ni id yangu nyingine[emoji1787][emoji1787]
Tunafanana nini jamani? Sura au mwandiko?