kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Duh! Ata sijui mkuubila shaks ni joanah
Duh! Ata sijui mkuubila shaks ni joanah
Kuna kitu nacheka kila dakika..
Hili kesi kuna kile kikosi kazi watainunua.. sisi wote tutakuwa wasomaji hapa.. utaniambia..Hope unakijua?
Sent using Jamii Forums mobile app






hee mtajeni sas tuache kubuni watuMtoe joanah hapo mkuu hanaga hizo mambo
uawia hi....sunga, mlalo,mgwashi,bumbui, nkhoogwe, mashewa, daluni hambu hi...Ntana mghoshi


Baadhi ya wanaume wa JF hawataki kabisa kupingwa na wanawake wanataka tukubali kila wanachoandika humuNa si ndio wanavyofanyaga hivyo
Mlalo misheniuawia hi....sunga, mlalo,mgwashi,bumbui, nkhoogwe, mashewa, daluni hambu hi...![]()
wakuteia tewe
Acha dear unaleft ghafla jf halafu si unajua wanaume wa jf wakiunganaBaadhi ya wanaume wa JF hawataki kabisa kupingwa na wanawake wanataka tukubali kila wanachoandika humu
Ndiyo maana wakipingwa wanaleta matusi na personal attacks hasa wakiishiwa hoja sasa ndiyo pata picha wana file lako sasa
😅😅😅😅😅 bora nimeuliza hapa kuna waliouliza watu pmMwanaume mbea wewe jamani![]()
Duuh soma comment yangu vizuri mkuutaja hiyo helufi ya kwanza mkuu
Yani hali ni teteSio jf tu hata mtaani wanatisha balaa.
Dooh mkuu tangu lini Rapcha akachana mistari ya kusifia mtu hasa mwanamkeNikupe ya kukusifia sana au kidogo?![]()
Ila Melo nae anapenda umbea bwana asinipe ban bwana yaani nitampigia magoti yote mawili




Yani hali ni tete
Nina huyo rafiki yangu anakuambia kwenye ukoo wao wanaume ndiyo wambea kuliko wanawake na tena ni wababa watu wazima wameoa na wana familia zao




Niedi mghosingwa, onganzeze mghoshi![]()
Kisanga FreestyleDooh mkuu tangu lini Rapcha akachana mistari ya kusifia mtu hasa mwanamke
WeeeeeAcha dear unaleft ghafla jf halafu si unajua wanaume wa jf wakiungana
Aiseh haki amenisikitisha..nilikuwa namuona wakishua kumbe hovyo kabisaYaani hata sijui analipwa nini aisee! Mwanzo nilikuwaga tu nasikia kuna watu wanalipwa humu ili kupata picha na info za watu fulani nikawa nahisi utani sasa ndiyo nimeamini!