Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwenzie yule nafanya naye mishe nimemnanga juzi [emoji38]
Akabisha[emoji1787]..nikasema yaani nikiona zimesambaa moja kwa moja nitajua ni yeye.
Teh teh halafu nasikia amewahi kumkula! Huyo ndugu yako naye kumbe mhuni tu bahati yake tu hayuko kwenye ile list ya yale mafurushi ya MMU na hajulikani sana humu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli yaani ilibaki kidogo nikutupie lawama wewe sababu nilihisi na wewe uliziona zile status ukamgundua kuwa ni yeye ukaziiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…