ip_mob
R I P
- Nov 14, 2016
- 268
- 651
Sawa mkuu wangu wa kazi.[emoji846]
Sawa mkuu wangu wa kazi.[emoji846]
Such dodoma hakuna miti kabisa#enroute #rainy
Dodoma here we come [emoji846][emoji846]
View attachment 1637525
Burudani za kiswahili sasa [emoji57][emoji57][emoji57]View attachment 1637526
Sawa mkuu wangu wa kazi.[emoji846]
Yangu basi 🤪🤪...nilikuwa namshikia dereva tu hiyo Redbull 😏Red bull na embe? Hii combination ni 🔥
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nice [emoji2777]Mana na mwana[emoji7]View attachment 1625515
Lips lol,[emoji105]View attachment 1625672
😄😄😄KumbeeeYangu basi 🤪🤪...nilikuwa namshikia dereva tu hiyo Redbull 😏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nkamu nipo kwenye mazoezi ya kucheka siku nitakapotuma picha za kumtoa Espy JF
Yaani mmama wa jana amenichekesha jamani, nikimkumbuka najichekea mwenyewe kama mwehu.
Kuna wale mchumba akija kwenye familia, anamtoa kasoro wee mara hatuendani. Siku ya mwisho asipochaguliwa sasa, anaanguaje kilio. Bado wa wale" mimi ndiyo HS ambaye hujanichagua, lakini hata sijaumia maana wewe mwenyewe hukukidhi vigezo vyangu". Waafrika tuna nongwa jamani
Hahaa nasubiri tu siku yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kumtoa Espy JF hivi kwanini lakini unamfanyia hivo mama yako
Kile kipindi mie huwa kinanichekesha tu kwa kweli! Huwa najiuliza wanavyochaguana tu kirahisi vile huwa wanadumu kweli!
Shimboni maeSawa shimboni
Ulitaka nikupangie niniUnanipangia jinsia