Ahsante sana leo niko poa kabisa
Vizuri sana kama leo uko poa sana mpendwaAhsante sana leo niko poa kabisa
Ahsante T Ely
Nmetoka tayali mkuuUpo millenium tower II hadi muda huu...
Niwacheeeee!Hahaha nkamu nipo kwenye mazoezi ya kucheka siku nitakapotuma picha za kumtoa Espy JF
Yaani mmama wa jana amenichekesha jamani, nikimkumbuka najichekea mwenyewe kama mwehu.
Kuna wale mchumba akija kwenye familia, anamtoa kasoro wee mara hatuendani. Siku ya mwisho asipochaguliwa sasa, anaanguaje kilio. Bado wa wale" mimi ndiyo HS ambaye hujanichagua, lakini hata sijaumia maana wewe mwenyewe hukukidhi vigezo vyangu". Waafrika tuna nongwa jamani
Ndipo nkamu....ulikunghu kalumbu utikubhoneka
Niwacheeeee!