The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,445
- 20,809
Kwema bossPoa kiongozi kwema!?
Kwema bossPoa kiongozi kwema!?
Tupo mkuu wanguKwema boss
Fanya namna mkuuHuu ndio muda wa kutupia mjue
Usijali mkuuHahahaha, ndio wa kishua wenyewe huo "kusafiri na kutalii" safi sana. Tupia tupia picha nasi tutalii kwa picha
Hahahaha, hebu kwanza tupia ya muda huu nioneUsijali mkuu
Nikisafiri nitatupia
HahahahHahahaha, hebu kwanza tupia ya muda huu nione
HahahahaHahahah
Kwa sasa sina
Huyu mwingine hana lolote, alikuwa anachezea chakula changu tu 😏😏Ulikula vijiko vingapi na kumwachia huyo mwingine?
Unakula vitu vyenye kuupa mwili nguvu na ulinzi wa kutosha



mkuu nakukubali sana, hivi ulisema wewe sio mnene?