Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,201
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Unajua kufafanua jambo ua smart
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Unajua kufafanua jambo ua smart
My dear umeniona kwa juu tu ujue 😁
Red bull na embe? Hii combination ni 🔥
Weka tuone bwanaMy dear umeniona kwa juu tu ujue [emoji16]
Nashindwa ziweka cause kwenye ku edit nahisi nitaharibu picha kabisa [emoji1]...ila ngoja nione
HapanaSaint Anne ndo umetoka ibadani nini?
Tshirt ya kuazima tu hiyo, isikutishe sana boss wangu.
Weka Sasa sura tukuone boss [emoji4]Tshirt ya kuazima tu hiyo, isikutishe sana boss wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Okay nilijua ulikuwa kwa mwalimu.
Hapana,sipo dar.Okay nilijua ulikuwa kwa mwalimu.
Poleee
😄😄sawaa
Okay mwenyewe nimefanikiwa kuicheki online tu
Kama upo huko jitahidi uende..Okay mwenyewe nimefanikiwa kuicheki online tu
Naweka muda si mrefu boss. [emoji846]
Sijawahi endaga hata once daima nafuatilia kwa mtandao tu🤦🏽♂️
😄Subira yavuta heri
Naweka muda si mrefu boss. [emoji846]
Wekeni basi[emoji1]Subira yavuta heri
Jaribu uendeSijawahi endaga hata once daima nafuatilia kwa mtandao tu[emoji2363]
Nitajitahidi niendage siku