Yaani na mimi huwa natamani wawe wanatupa feedback aise! Hiyo ya hako kadada nahisi naikumbuka ila mimi ilinichekesha ile ya kajamaa fulani kama kaarabu kakamchagua yule single mother kisa ana shape halafu mwanamke mwenyewe ana mashushu duuh!Hahaa nasubiri tu siku yake.
I wish siku moja waje watupe feedback ya mahusiano yaliyotengenezwa humo. Hivi uliangalia ile ya kadada kimbaumbau afu akaenda kuchagua bongeee; nilichekaaa
mzee sura yako kweli inaendana na username yako umekaa ki-don sana
Mkuu una dimples aisee😍😛



Yaani na mimi huwa natamani wawe wanatupa feedback aise! Hiyo ya hako kadada nahisi naikumbuka ila mimi ilinichekesha ile ya kajamaa fulani kama kaarabu kakamchagua yule single mother kisa ana shape halafu mwanamke mwenyewe ana mashushu duuh!
Wakuu! Habari ya weekend![]()
Njema/salama kabisa mkuu vipi za weweWakuu! Habari ya weekend![]()
Nkamu gwangu ulipo!Ahsante nkamu
Namshukuru Mungu niko poa kiasi😒
Nilipo nkamuNkamu gwangu ulipo!
ulikunghu kalumbu utikubhonekaNilipo nkamu
Mwee basi hiyo nami itakuwa ilinipita! Huwa kinanifurahishaga sana kile kipindi yaani laiti mahusiano yangekuwa yanapatika kirahisi hivyo na yanadumu basi dunia ingekuwa sehemu salama sana ya kuishi aiseee!Hiyo sijui ilinipita mweeh. Aliniacha hoi mchaga wa last week na kale kadada ka kihaya ambao wanaume wao wote walikuwa wamevaa hereni. Wanawake wale![]()
AminaNamshukuru Mungu niko poa kiasi![]()
Aah, sijiskii vizuri tu mkuu