Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Unaniogopa mpendwaUnaogopesha watu eti
Unaniogopa mpendwaUnaogopesha watu eti
Haya [emoji23][emoji23][emoji23]Oooh nimekuelewa sasa [emoji1]
Ubongo uko slow leo [emoji2363]
Ndiyo mpendwa wangu, tufanye we ni Ke, mengine sijuiUnaniogopa mpendwa
Unajua kufafanua jambo ua smart
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We tulia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya jombii
Sawa shimboni[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We tulia
Unanipangia jinsiaNdiyo mpendwa wangu, tufanye we ni Ke, mengine sijui
Huo mtihani kwa kweli 😂🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Who else has been watching this? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1641569
Jana wakati nasinziasinzia niliwatazama wazee wanataka kuurudia ujana! Hivi wanafanya kweli, manake kwa stage zile lazima mtu apewe kitu[emoji23][emoji39]Who else has been watching this? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1641569
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiki kipindi kinanifurahishaga sana aise
Nkamu leo umetumia emoji [emoji23][emoji23]
Kyala nkulumba [emoji16][emoji16]
Hivi brod darling uliona yule mama alivyochekelea jana khaaa. Afu yule baba amefanana na Dr Shika.Jana wakati nasinziasinzia niliwatazama wazee wanataka kuurudia ujana! Hivi wanafanya kweli, manake kwa stage zile lazima mtu apewe kitu[emoji23][emoji39]
Alikuwa anachekacheka sanaa, anataka kumkumbatia Dr shika lakini anajizuia. Pale wiki ndefu kitu kimechezewa...Hivi brod darling uliona yule mama alivyochekelea jana khaaa. Afu yule baba amefanana na Dr Shika.
Kwa excitement ya yule mama, mzigo ushaliwa kitambo na ukute washamove in. Nahisi wanafanya kweli kwa wanaoamua kuwa serious
Alikuwa anachekacheka sanaa, anataka kumkumbatia Dr shika lakini anajizuia. Pale wiki ndefu kitu kimechezewa...
Weka bwana tuoneHuo mtihani kwa kweli [emoji23][emoji1787]