Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

LASTKINGOF1990.
IMG-20201128-WA0006.jpeg
 
Next time ukimwambia leo kunyoa, utaona pilika pilika zake ha ha...mimi kama negative experiences siyo mbaya namuachia dogo ajitusue mwenyewe afahamu vizuri dunia inavyoenda

mf. Dogo nilimwambia hamna kuangalia TV weekdays, akirudi anamkazia dada anaangalia dada hasemi, hiyo siku nimerudi home kabla hajarudi shule nikapaki gari mbali kabisa na home asijue nipo home ili akumbane na consequences za tabia zake...karudi anamuendesha kama yeye ndie baba, kawasha tv, dada akimuambia zima tv, anamjibu mbovu afu anamwambia ukimwambia baba nitakunyima hichi, kile...

nikatoka room alikuwa mdogo balaa nikachomoa card ya king'amuzi miezi 3, nikampangia na kazi za kufanya na makofi akala, siku hizi yuko maki i kweli na maelekezo

Safi sana mkuu.! This is kinda of parenting nitatumia kwa dogo ..! Hakuna ishu kubembelezana sana. Demokrasia ikishindwa dola inaingia.
Broda, kwema huko ??
 
Dah kapendeza Sana na alinitext Jana akapendekeza nguo ipi nivae sema siwezi kumla mke wa jamaa sio poa kabisa,

Mzee baba niaje..! Aisee kwanza ulifanya vyema sana na ni jambo la kistarabu sana kutomla mke wa mtu. Haya mambo bhana unaweza ukafurahia kutafuna mke wa mtu ila huwazii kama ungekuwa ni wewe mkeo analiwa ingekuwaje ??
Juzi kati nilikuwa nachati na manzi yuko kwenye mahusiano na mwana mmoja na tayari walishaanza kufanya zile procedures za kukabidhiwa mke. Manzi nilimkaza ila nimekuja kukaa nikawaza kabisa huu ni ujinga ambao sitakiwi kuufanya maana kugongewa kunauma sana Braza.!
Nimepunguza mawasiliano naye na baadae naacha kabisa kuwasikiana naye labda kwa jambo la msingi sana tofauti na hapo sitaki ukaribu na mke wa mtu.
Alfu swali ambalo kama atalijibu ndada itapendeza sana, hivi inakuwaje mpaka unaenda kuingia kwenye hatua kufunga ndoa bado unaendeleza ukaribu na mtu ambaye unajua wazi kabisa mtakapo ishia ni kulana na pengine inaweza kuharibu ndoa yako mbeleni..!??? Kuba kuwapo nini hasa ??
Kama unampenda mwana yule mwingine si unakuwa open tu na hata ndoa isifungwe..! Na ukafunga ndoa na mtu ambaye unaweza kuwa katika ndoa na ukawa pamoja strong connection.
@Makasie
financial services na wadada wengine ..! Nitafurahi kusikia chochote kutoka kwenu.
 
Back
Top Bottom