Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hii inaendana na uhalisia...
Umefanana na dada mmoja humu
Umefanana na dada mmoja humu
Ungeifuta hiyo sasa nyingine uache.Picha ya kawaida tuu.. sema kuna moja ikaingia sikutaka itokee huku..
Hivi Kigoma ni udongo mwekundu pia?Itakja Kigoma huko![]()
Snapchat zinamtoa mtu na sura ya kitoto sana. Ukijua kuweka poziHata kama bwana. Sio wote snapchat zinawatoa wazuri eti



MmmhWe ndio mchoyo na pm yako
Ewaaaaah
Na uzuri unachangia
Ila niseme ukweli kwa dhati ya moyo wangu, Your so beautiful... Amazing
Kigoma kuna udongo mwekundu kweli, hasa kwenye kambi za jeshi za Kanembwa na Bulombora.Hivi Kigoma ni udongo mwekundu pia?
Au umejumlisha na sura yake?
Hivi wewe mbona zako hautumi mkuu??Ila niseme ukweli kwa dhati ya moyo wangu, Your so beautiful... Amazing
Siku hizi nimekuwa mweupe? Nimemiss jina langu ngoja nifanye mpango lirudi kwa muda.sawa malaika mweupe
Kulikoni 🙊Aisee
Ndio dear.Aloo kumbe na wewe ni mnyakyusa??
Kweli unawajua. Nimefanana na nani?Hii inaendana na uhalisia...
Umefanana na dada mmoja humu
Hivi kuna mtu Snapchat inamkataa?! Dada achana na ile kitu 😂😂😂Hata kama bwana. Sio wote snapchat zinawatoa wazuri eti
Mbona zipo humuHivi wewe mbona zako hautumi mkuu??
Sawa tribo.Ndio dear.
HakikaWakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha.
Halafu atakuwa mnyakyusa kweli wanyakyusa tupo juu mawinguni![]()




.