Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hahaha ndio ndio...ila sijaona yakwako mama la mama hannah montana
Bila shaka unaongelea kwa unaowajua.
Bila shaka unaongelea kwa unaowajua.
Usicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliweka mwanzo wa uzi kabisa....hata kama uwajui picha halisia zinajulikana
Ila wengine wanahangaika kuzicrop Na wengine hawajaweka kabisa Hafu ndio wa kwanza kuponda wadada walioweka pic zao humuWatu mkijijua ni ma handsome mnasumbua hata picha hamkati.
Ulipost nini eti ukafuta?
Usingizi uliniponza.[emoji24][emoji24]
Wacha wee, ukaamua kunichomesha mahindi mwenyewe.Huu uzi bado upo tu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Haya usiku mwema.
Picha ipi hiyo hadi mods waliamua kuifanya ya mauzo mamy.
Iweke tena.
Mkuu huko ni mkoa gani udongo mwekundu hivo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msomali wa camera ya Snapchat labda.[emoji28][emoji28][emoji28]
Msomali wa camera ya Snapchat labda.[emoji28][emoji28][emoji28]
Roho imeniuma Sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji7]Nilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuma tena wewe jamaniNilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuu[emoji1] unaonekana unapenda vifua mkuu, hivo ni kumshawishi mwenza ajiwekee utaratibu wa chest+biceps/triceps workouts long as sio kimbaumbau.
Picha zangu zimejaa huku.Hahaha ndio ndio...ila sijaona yakwako mama la mama hannah montana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho imeniuma Sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji7]
Nimekuja kuambulia ya pombe tu
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha.Ila wengine wanahangaika kuzicrop Na wengine hawajaweka kabisa Hafu ndio wa kwanza kuponda wadada walioweka pic zao humu
Picha zangu zimejaa huku.
Utaamua ipi ndio ya kweli.
Imenipita jamani. Ungefuta uache mojaNilipost picha yangu halafu zilivyo na kiherehere zikaingia 3. Uzuri tulikua macho wachache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aloo kumbe na wewe ni mnyakyusa??Wakuponda anatakiwa atupie full kama huyo kaka hapo tuone sura inaridhisha.
Halafu atakuwa mnyakyusa kweli wanyakyusa tupo juu mawinguni[emoji28][emoji28]