Khee! 😂😂😂😂Jaman msifute hzo pic tafadhal sana tuna kazi nazo
Naomba kuzionaZile nywele haziwezi kuwa za mtu kibonge hivyo![]()
OhoooZile nywele haziwezi kuwa za mtu kibonge hivyo![]()
Kama wako dearWoyoooooo
Bado mwanya.
Dada una mguu mzuri![]()







Weka picha yako sio ya mamaNilisema Mimi nikiweka picha server zitakuwa nzito
Ona Sasa![]()
Na bia za hapa na paleSiri ya kitambi Ni viporo vya ugali na maharage kwa kwenda mbele
Kipilipili wapi kila alikuwa anasema una nywele za ukweliIle ya kipilipili changu
Ni kipilipili kilichokuwa kirefu kikachanwa...enzi za ujana wanguKipilipili wapi kila alikuwa anasema una nywele za ukweli
Hapanaaa..bia situmii Mimi mkristo niliyezaliwa Mara ya piliNa bia za hapa na pale

Mbona mnabisha jamaniWeka picha yako sio ya mama






Halafu jama mnaovaaga makoti wakati jua linapiga mnakuwaga matapeli sana...hahaha!!!





Hahaha..unanipaka mafuta ujueIla we ni funika
Zile nywele haziwezi kuwa za mtu kibonge hivyo![]()

Teh teh watoto wananikimbiza kwa swagger zao ngoja nibaki kuwa ndugu mtazamajiTupiamo basi japo kamoja tuuu