Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,047
- 124,466
Mnanisengenya?Huyo namba 2 uliyem-mention ni balaa na nusu
Mnanisengenya?Huyo namba 2 uliyem-mention ni balaa na nusu
Hujambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani yule akili yake anaijua mwenyewe
Salaam ZoèShe is a comedian kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mwenyewe anakuambia anayoyaandika humu anayaona ya kawaida ila anashangaa watu huku tunakufa mbavu
Sijambo moudHujambo
Mnanisengenya?
Hapana mimi siyo mkurya
Mimi ni msukuma wa Bariadi-Simiyu
Hivi wasukuma sio wabahili kama wapare eeh[emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaha....Huwezi kuwa mwanaume wa kisukuma halafu ukawa bahili Jael
Wanaume wa kisukuma tunasifika nchi nzima na dunia yote kuwa siyo bahili
Tunaongoza kwa kupenda/kupendwa/kujali/kuthamini na kuheshimu kila mtu........
Karibu Jael[emoji1]
Msukuma yes.
Achana na mpare.
Msukuma akiwa rais anweza kukuhonga bahari ya hindi.
Akhsante kwa kukazia na kuweka Yes kwa wanaume wa kisukuma amu
[emoji1][emoji1][emoji1]msukuma akiwa?[emoji101]
Kama naniliu alivyohonga wizara ya madini [emoji2088][emoji2088]
Mmmh....wanaume wa kisukuma awe mbabe ?
Hapana kwa kweli Zoe
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Inasemekana hata Kule kwa kidoti
Sipendi majaribu mimi, haki zitakuwa dhambi zako mwenyewe.
Afadhali leo Wasukuma tumekumbukwa. Thenki yu Jizazi. Siyo kila siku kusimangwa ushamba tu. Kuna binti mmoja nilikwenda naye kijijini kwetu Somanda kule Bariadi mama akamchinjia ng'ombe aisee alishangaa sana. Halafu kama hiyo haitoshi akafungashiwa kabisa na mitanda (nyama zilizokaushwa kwa moshi) pamoja na ngozi ya yule ng'ombe wakati wa kuondoka. Akawa ananiuliza sasa mimi ngozi ya ng'ombe naipeleka wapi mi mbavu sina. Hata baada ya kuachana naye aliendelea kuwa rafiki sana na mama wanatumiana pesa na kanga; na kila nikiongea na mama ananikumbusha kuwa yeye hataki mwingine isipokuwa yule tu. Mama alipofariki mwaka juzi rafiki yangu yule alikuwepo na alishiriki msiba ule kwa ukamilifu sana. Amekuwa kama ndugu yetu kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Oohh pale kwa hao wachungaji, duuh.
Kwa kweli wasukuma asilimia kubwa kwenye kuhonga wako vizuri, ukikuta msukuma mbahili huyo hybrid siyo pure.
Sasa unalalamika hata picha huweki dah [emoji16][emoji16][emoji16]Huu uzi siku hizi auendi na picha
Kisukuma hakina r. Kikurya hakina l.Wasukuma na Wakurya mna ugomvi na "l" sijui
Habari za weweMnanisengenya?
Tatizo notifications sipati. Nimeshapitwa tena naona. Ai givapu [emoji870][emoji870][emoji870]SHIMBA YA BUYENZE ukuje sasa usijepitwa tena.
Salaam moud habari za sikuSalaam Zoè
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu kuwa ukiona comments kama hizi lazima kichwa kivimbeAfadhali leo Wasukuma tumekumbukwa. Thenki yu Jizazi. Siyo kila siku kusimangwa ushamba tu. Kuna binti mmoja nilikwenda naye kijijini kwetu Somanda kule Bariadi mama akamchinjia ng'ombe aisee alishangaa sana. Halafu kama hiyo haitoshi akafungashiwa kabisa na mitanda (nyama zilizokaushwa kwa moshi) pamoja na ngozi ya yule ng'ombe wakati wa kuondoka. Akawa ananiuliza sasa mimi ngozi ya ng'ombe naipeleka wapi mi mbavu sina. Hata baada ya kuachana naye aliendelea kuwa rafiki sana na mama wanatumiana pesa na kanga; na kila nikiongea na mama ananikumbusha kuwa yeye hataki mwingine isipokuwa yule tu. Mama alipofariki mwaka juzi rafiki yangu yule alikuwepo na alishiriki msiba ule kwa ukamilifu sana. Amekuwa kama ndugu yetu kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wanaume wa Kisukuma tuko imara kila idara aisee [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani nimefurahi balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu kuwa ukiona comments kama hizi kichwa lazima kivimbe
Mida ya wanga hii mkuu shusha vituHabari za wewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti enhKisukuma hakina r. Kikurya hakina l.
Kabisaa, watoto wamelala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti enh
Kweli Zoë tupo sisi watatu tu. Hebu shusha kitu halafu unafuta fasta [emoji16]Mida ya wanga hii mkuu shusha vitu