Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe mchokozi sio. Sikuwa na maana hiyo uliyodhani, nilimaanisha siku ya kwanza kuonana sio siku ya kunywa pombe, kulewa na ku-misbehave kwa mtu msiyejuana. Ikibidu soft drinks tu, basi hata "wali maharage" sio vibaya[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka siku ya kwanza nilipigwa wali maharage na maji ya kandoro[emoji134][emoji134][emoji134] ama kweli kipendacho roho.
 
[emoji6]
IMG-20200620-WA0015.jpg
 
She is a comedian kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mwenyewe anakuambia anayoyaandika humu anayaona ya kawaida ila anashangaa watu huku tunakufa mbavu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani yule akili yake anaijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom