amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,297
Nakupenda kaka yangu lakini jitahidi ufikie levels za wasukuma.Nilijua unanipenda mdogo wangu, kumbe dah!!![emoji24][emoji24][emoji24]
Jael ukienda ukweni kwa wapare watakukaribisha tembele na dagaa.
Ila ukienda ukweni usukumani lazima uchinjiwe mbuzi na ushikishwe mapembe
Sasa Zoë hata ikiwa wewe utachagua wapi