Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ongeza ushawishi mkuu ashushe mzigoKweli Zoë tupo sisi watatu tu. Hebu shusha kitu halafu unafuta fasta [emoji16]
Selfika mkuuMwee nishushe vitu gani tena
Mie mbona niliwaambia sina pichaSelfika mkuu
Huwezikosa mkuu rudia hats ile uliyotupia mwanzoni Saint Anne bado kasinzia akiamka akute manyoyaMie mbona niliwaambia sina picha
Mi nina bahati mbaya katika uzi huu mpaka basi. Picha pekee ya binti niliyowahi kubahatisha hapa ni ya Makiseo tu. Wengine huwa nakuta zimeshafutwa. Zoë si uweke hata ambayo ulishawahi kuweka hapa halafu ukaifuta? Iti izi onole thrii ofazi. Puliiizi [emoji1545][emoji1545]Mie mbona niliwaambia sina picha
Wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakarimu sana.Afadhali leo Wasukuma tumekumbukwa. Thenki yu Jizazi. Siyo kila siku kusimangwa ushamba tu. Kuna binti mmoja nilikwenda naye kijijini kwetu Somanda kule Bariadi mama akamchinjia ng'ombe aisee alishangaa sana. Halafu kama hiyo haitoshi akafungashiwa kabisa na mitanda (nyama zilizokaushwa kwa moshi) pamoja na ngozi ya yule ng'ombe wakati wa kuondoka. Akawa ananiuliza sasa mimi ngozi ya ng'ombe naipeleka wapi mi mbavu sina. Hata baada ya kuachana naye aliendelea kuwa rafiki sana na mama wanatumiana pesa na kanga; na kila nikiongea na mama ananikumbusha kuwa yeye hataki mwingine isipokuwa yule tu. Mama alipofariki mwaka juzi rafiki yangu yule alikuwepo na alishiriki msiba ule kwa ukamilifu sana. Amekuwa kama ndugu yetu kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wanaume wa Kisukuma tuko imara kila idara aisee [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji16][emoji16][emoji16]
Safi sana shemeji [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]Wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakarimu sana.
Mimi tumefika jioni akaletwa mbuzi hata sijui.
Asubuhi naambiwa njoo umshike mbuzi.
Mila eti kabla hajachinjwa unatakiwa umshike mbuzi wako.
Alivyochinjwa nikaambiwa amua mwenyewe utamfanyaje.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tulikuwa na group la marafiki zake Mr wametoka dar yule mbuzi wakamgeuza wao.
Akachomwa, nikapika pilau, nikakaanga burudani kabisa.
Mimi nikisema nataka kuolewa na msukuma unanikatisha tamaa vibaya sana, hutaki niyapate haya? Wivu tuSafi sana shemeji [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Marhaba hujambo totooShikamoo dada
Wasukuma na wanyakyusa wameugeuza kijiwe cha storiHuu uzi siku hizi auendi na picha
Wewe yako mbona sijawahi kuifuma
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] shikamoo dada
Hehehee nilijua tu lazima utudissWasukuma na wanyakyusa wameugeuza kijiwe cha stori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada hivi wanyakyusa tulikukoseaga nini etiWasukuma na wanyakyusa wameugeuza kijiwe cha stori
Dogo ulipotelea wapiHabari za humu?
Marhaba toto hujambo?[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] shikamoo dada