Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mnanikosea mengi tu siwezi kuhesabudada hivi wanyakyusa tulikukoseaga nini eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnanikosea mengi tu siwezi kuhesabudada hivi wanyakyusa tulikukoseaga nini eti
Afadhali leo Wasukuma tumekumbukwa. Thenki yu Jizazi. Siyo kila siku kusimangwa ushamba tu. Kuna binti mmoja nilikwenda naye kijijini kwetu Somanda kule Bariadi mama akamchinjia ng'ombe aisee alishangaa sana. Halafu kama hiyo haitoshi akafungashiwa kabisa na mitanda (nyama zilizokaushwa kwa moshi) pamoja na ngozi ya yule ng'ombe wakati wa kuondoka. Akawa ananiuliza sasa mimi ngozi ya ng'ombe naipeleka wapi mi mbavu sina. Hata baada ya kuachana naye aliendelea kuwa rafiki sana na mama wanatumiana pesa na kanga; na kila nikiongea na mama ananikumbusha kuwa yeye hataki mwingine isipokuwa yule tu. Mama alipofariki mwaka juzi rafiki yangu yule alikuwepo na alishiriki msiba ule kwa ukamilifu sana. Amekuwa kama ndugu yetu kabisa
Wanaume wa Kisukuma tuko imara kila idara aisee![]()
Mi sijambo hofu kwako dear



khaa utafikiri kweli sasaSasa kwanini hukumuoa shimba? Au nawe umeanza kuwa furushi!!!Afadhali leo Wasukuma tumekumbukwa. Thenki yu Jizazi. Siyo kila siku kusimangwa ushamba tu. Kuna binti mmoja nilikwenda naye kijijini kwetu Somanda kule Bariadi mama akamchinjia ng'ombe aisee alishangaa sana. Halafu kama hiyo haitoshi akafungashiwa kabisa na mitanda (nyama zilizokaushwa kwa moshi) pamoja na ngozi ya yule ng'ombe wakati wa kuondoka. Akawa ananiuliza sasa mimi ngozi ya ng'ombe naipeleka wapi mi mbavu sina. Hata baada ya kuachana naye aliendelea kuwa rafiki sana na mama wanatumiana pesa na kanga; na kila nikiongea na mama ananikumbusha kuwa yeye hataki mwingine isipokuwa yule tu. Mama alipofariki mwaka juzi rafiki yangu yule alikuwepo na alishiriki msiba ule kwa ukamilifu sana. Amekuwa kama ndugu yetu kabisa
Wanaume wa Kisukuma tuko imara kila idara aisee![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tatizo notifications sipati. Nimeshapitwa tena naona. Ai givapu![]()
Shimba huo mchuzi🤔🤔🤔🤔
Mi najua basi? Ni vitunguu na nyanya. Hapo nilikuwa nataka nitie vyote vilivyobaki humo (dagaa, bamia na mchicha) vitajuana vyenyewe ila mboga ilikuwa tamu kwa kiwango changu. We acha tu yaaniShimba huo mchuzi![]()



Mabaharia waliniwahi japo bado tuko marafiki wa chanda na pete (hatupashi kiporo). Yeah! Zamani nadhani nilikuwa na chembe za ufurushiSasa kwanini hukumuoa shimba? Au nawe umeanza kuwa furushi!!!



Unakwenda unaiuza tena bei nzuri tuHata mimi nisingeelewa cha kufanya na hiyo ngozi ya ng'ombe



Mimi nikisema nataka kuolewa na msukuma unanikatisha tamaa vibaya sana, hutaki niyapate haya? Wivu tu
Sent using Jamii Forums mobile app













Hahahaha haki umenichekesha. Labda alikuwa tu rafiki wa kawaidaSasa kwanini hukumuoa shimba? Au nawe umeanza kuwa furushi!!!
Unakwenda unaiuza tena bei nzuri tu
Alitaka kuitupa nikaichukua nikaenda kuiuza nikampa hela zake. Kubebeshwa ngozi namna hiyo ilikuwa ni ishara ya heshima ya mgeni ndo maana nilimkataza asiitupe.
Hapana, kasema "baada ya kuachana" hivi marafiki huwa wanaachana eehHahahaha haki umenichekesha. Labda alikuwa tu rafiki wa kawaida

