Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha......

Umepita kapa hujaelewa chochote/lolote Zoë

Kwa kweli mwenyewe
Hahahaaa halafu nimekumbuka kuna siku tulienda sehemu fulani mie na rafiki yangu wanaongea lugha hatuielewi.

Sie tulienda zetu kujizururia tu sasa wakati tunavuka barabara akapita jamaa mmoja speed na baiskeli yaani alitukosakosa ilibaki kidogo atugonge.

Sasa akatuongelesha maneno kwa ile lugha yao hatukuelewa yule rafiki yangu akadakia kwa nguvu "MWENYEWE" pale barabarani mbele za watu haki nilicheka.
 
Hahahaha.....Hiyo ndo dawa ya kuwa sehemu halafu watu wanaongea lugha ambayo wewe huielewi.

Akiongea halafu huelewi ni kusema mwenyewe ili hata kama ameongea tusi limurudie[emoji1][emoji1]
 
Hivi wasukuma sio wabahili kama wapare eeh[emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaha....Huwezi kuwa mwanaume wa kisukuma halafu ukawa bahili Jael

Wanaume wa kisukuma tunasifika nchi nzima na dunia yote kuwa siyo bahili

Tunaongoza kwa kupenda/kupendwa/kujali/kuthamini na kuheshimu kila mtu........

Karibu Jael[emoji1]
 
Back
Top Bottom