Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23]we haya tu!

Ilà sio wafupi bwana, ni vile watu wamekuwa na perception hiyo ilà kuna giants wengi tu na shotii pia wapo wengi tu.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] oohh kwahiyo hapa tuchukulie kuwa in every general rule there's always an exception
 
Kuna siku nilicheka hadi basi. Huyo mpare wako alicomment eti on a first date; dada akija anaruhusiwa tu kunywa kinywaji; hakuna kununuliwa msosi hadi 2nd date (obvious mambo yakishatick). Nikasema shikamoo mpare
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila afadhali wewe mrefu, ila ubahili tu ndio tatizo babe[emoji3590]
 
Back
Top Bottom