T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Sawa mkuu tuko pamojaNashukuru mkuu. Nipo na wana kitaa tunamalizia weekend hapa.
Sawa mkuu tuko pamojaNashukuru mkuu. Nipo na wana kitaa tunamalizia weekend hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweliHahahaha.....Hiyo ndo dawa ya kuwa sehemu halafu watu wanaongea lugha ambayo wewe huielewi.
Akiongea halafu huelewi ni kusema mwenyewe ili hata kama ameongea tusi limurudie[emoji1][emoji1]
Ila ni wababe na walalamishiHahaha....Huwezi kuwa mwanaume wa kisukuma halafu ukawa bahili Jael
Wanaume wa kisukuma tunasifika nchi nzima na dunia yote kuwa siyo bahili
Tunaongoza kwa kupenda/kupendwa/kujali/kuthamini na kuheshimu kila mtu........
Karibu Jael[emoji1]
Kama naniliu alivyohonga wizara ya madini [emoji2088][emoji2088]Msukuma yes.
Achana na mpare.
Msukuma akiwa rais anweza kukuhonga bahari ya hindi.
Mna ugomvi na "L" aiseHahaha....Ai(I) au elo(L) au ara(R)?
Mmmh....wanaume wa kisukuma awe mbabe ?Ila ni wababe na walalamishi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Inasemekana hata Kule kwa kidotiKama naniliu alivyohonga wizara ya madini [emoji2088][emoji2088]
Usihofu babe[emoji3590][emoji2307][emoji2307][emoji2307]
Sipendi majaribu mimi, haki zitakuwa dhambi zako mwenyewe.Hahaha....Huwezi kuwa mwanaume wa kisukuma halafu ukawa bahili Jael
Wanaume wa kisukuma tunasifika nchi nzima na dunia yote kuwa siyo bahili
Tunaongoza kwa kupenda/kupendwa/kujali/kuthamini na kuheshimu kila mtu........
Karibu Jael[emoji1]
@Eli79 moyo u radhi ila account i dhaifu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Msukuma yes.
Achana na mpare.
Msukuma akiwa rais anweza kukuhonga bahari ya hindi.
Ndio si mnamuona hata baba yenu alivyo hana heshima kwa wanawakeMmmh....wanaume wa kisukuma awe mbabe ?
Hapana kwa kweli Zoe
Nilijua unanipenda mdogo wangu, kumbe dah!!![emoji24][emoji24][emoji24]Msukuma yes.
Achana na mpare.
Msukuma akiwa rais anweza kukuhonga bahari ya hindi.
Utapata unachotaka babe[emoji8] hivi huniamini tena babe?@Eli79 moyo u radhi ila account i dhaifu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu kahonga wengi jamani acha tu, sema tusimshangae sana maana shosti yake 'robati' alitaka kuhonga nchi kabisa pale sasa ndiyo warhode wakaona huyu anatuzoea vibaya.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Inasemekana hata Kule kwa kidoti
We si nilikuambia nakuja unifundishe kizulu. Nitatafsiriwa neno moja moja mpaka lini.Ungesema utafsiriwe tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Pale wanaposalia Shabokas.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyu kahonga wengi jamani acha tu, sema tusimshangae sana maana shosti yake 'robati' alitaka kuhonga nchi kabisa pale sasa ndiyo warhode wakaona huyu anatuzoea vibaya.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Nilijua unanipenda mdogo wangu, kumbe dah!!![emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Utapata unachotaka babe[emoji8] hivi huniamini tena babe?