Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,848
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utaishia kunywa soda ya jero afu utasikia anaulizia "vyumba vipo" ahahaahah
Haki hiyo nayo iliniachaga hoi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utaishia kunywa soda ya jero afu utasikia anaulizia "vyumba vipo" ahahaahah
[emoji23][emoji23][emoji23]ilà sis darling umekuwaje?
Ulirusha picha jana kama ulivyoahidi juzi? Jana nimeshinda hapa lakini sikuona kitu. Au ulirusha halafu ukafuta fasta kama ilivyo kawaida yako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki hiyo nayo iliniachaga hoi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaogopa kumtaja?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki hiyo nayo iliniachaga hoi.
Nilirusha na mpaka sasa bado ipo.Ulirusha picha jana kama ulivyoahidi juzi? Jana nimeshinda hapa lakini sikuona kitu. Au ulirusha halafu ukafuta fasta kama ilivyo kawaida yako?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaa ngoja aje sasa
Watu wana mabalaa.Ahaaa huo uzi nilicheka jamani
Nirahisishie. Comment # ngapi?Nilirusha na mpaka sasa bado ipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe mchokozi sio. Sikuwa na maana hiyo uliyodhani, nilimaanisha siku ya kwanza kuonana sio siku ya kunywa pombe, kulewa na ku-misbehave kwa mtu msiyejuana. Ikibidu soft drinks tu, basi hata "wali maharage" sio vibaya[emoji23][emoji23]Yanani siku hiyo ulinipa mawazo nikasema kwani kumnunulia chakula siku hiyo kuna shida gani? Ila nikakumbuka wewe ni mpare. Kweli bana in arelationship don't invest what you can't afford to lose; mpare hutaki mazoea na pesa yako. Btw ulikuwa unawapa info before kuwa waje wamekula kabisa au ulikuwa unawaambaije? teh
Hahahaha, mimi nakutega tu, siulizi habari ya vyumba date ya kwanza hadi ya kumi. Hadi itafika siku wewe ndio utasema "hivi humu hamna vyumba kweli, najisikia uchovu".[emoji23][emoji23]Utaishia kunywa soda ya jero afu utasikia anaulizia "vyumba vipo" ahahaahah
But me "I love u"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jizazi, sikuona jamnai. Aaah huu sasa ni next level[emoji134][emoji134][emoji134]
Yaani acha tu, huyu mtu ni changamoto, uvumilivu unakaribia kunishinda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe na wewe mchokozi sio. Sikuwa na maana hiyo uliyodhani, nilimaanisha siku ya kwanza kuonana sio siku ya kunywa pombe, kulewa na ku-misbehave kwa mtu msiyejuana. Ikibidu soft drinks tu, basi hata "wali maharage" sio vibaya[emoji23][emoji23]
Hahahaha, mimi nakutega tu, siulizi habari ya vyumba date ya kwanza hadi ya kumi. Hadi itafika siku wewe ndio utasema "hivi humu hamna vyumba kweli, najisikia uchovu".[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]But me "I love u"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
987654378Nirahisishie. Comment # ngapi?