Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹😹😹
Babu miga igweeeeeee

Aisee babu miga hataki longolongo ni mwendo wa kujisevia Morena kisha anakuja na pic za wahusika nginja nginja..!! 😹😹😹
Uduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uduguu shemeji yako Gwapole ananiponda eti najishaua kumbe mbaya..!! Sema hajakosea kapiga mule mule 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?
Maana sielewi elewii.
 
Watu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?
 
Sasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?
Huyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha 😁
 
Wog ukiamua kuyamwaga yamwage bana hizi unatoa kama preach hai sound kishengesha ujue..!! 😹😹😹
 
Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.

Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.

Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
Watu wanajuana, wanafahamiana, watu wanakulana humu ndani, polee yako km uko very anonymous.

Ogopa matapelii bwasheee, ni wee ndo huna bahati, so kitulize.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Brand kama brand 😹😹😹

Wog em funguka mi nna hamu ya kupata ubuyu kabla sijaingia kuuza vijora vyangu..!!
 
Mtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, alooooh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…