Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilichogundua Tatizo la hapa selfika, ni wivu tu! Kuna Makundi makuu mawili kwa upande wa KE.
1. Kundi la kwanza, Mabinti wabichi under 25
2. Kundi la pili ni mashangazi 25+

Under 25 ni Mtama kwa watoto! Kila ME hata wazee sisi tunamendea. Wanapigwa vita na mashangazi 25+

25+ wamegawanyika kWa Makundi 2 ambayo ni mahasimu. 25-29 (ambao kwao sasa ni watafutaji wa ndoa kwa udi na uvumba)! Na kundi la pili ambalo ni 30+ mishangazi (hawa ni sumu katika hili uzi huu) wanapenda ku bully under 30 as if under 30 ndiyo wanawalete mateso wanayokabiliana nayo katika mapenzi! Washakata tamaa ya ndoa na kupata ME wa kuwagungulanya ni shida!

Wanajisahau na wana na mdomo mchafu -kauli za ajabu ajabu, hawana stara wenyewe wanaongea kila linalokuja kichwani. Angalau kwa sasa wanapambana na jamaa (Me…)anayependa kilaji. Anawapa ukweli ingawa kundi hili halipendi kusikia ukweli.

Wanasahau usemi usemao: Ni tunda tu linalotamanisha likiwa komavu, si kwa mwanamke! Mwanamke anapendeza akiwa mbichi. Wanasahau kuwa, enzi zao zimepita, na zikipita hata uende kWa Mganga yupi, yote unajisumbua tu.

Acheni under 25 watambe, ni wakati wao! Wanaotafuta ndoa nao mashangazi, msiwaonee wivu. Wasubiri nao umri ukifika, muwasare tu.

Masingo maza nao nuksi tu ma mwiba kWa Mtama, jamani pambaneni na hali zenu, nani aliwalazimisha kutotoa na ME ambao hawajali pahala walipowekeza? Kabla ya kukubali kupokea ujauzito, mtoto wa kike aliye na akili, anatafakari na kujiridhisha kama hataachwa solemba.

Mmekazana, malaya malaya, nani humu ni bikra au ameliwa na mwanaume mmoja tu maishani mwake? Acheni hizo, K zao na msiwapangie matumizi yake. Kumbuka wanazikosha wao.
Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
 
Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
Samahani kwa gazeti ila sisi tunafurahia kujieleza! Kazi yetu kuandika tu. Ndiyo maana tunaandika Vitabu!
 
Back
Top Bottom