Spider kanyooka na suti yake..!Oooh haya sasa, kumekuchaa!!
Mahansamu wanatetemesha uzi leo.
π₯π₯
πππOfisi Posta niitoe wapi mkuu? Qenye ofisi huko wamepiga shule, mie nilikimbia umande.View attachment 3673080
Mi mbovu mbona wala hujapigwa πΉπΉπΉTangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?
Mchukue udugu wangu akatulie majuu πΉHadi nimecheka kwa sauti. Majuu wapi mkuu? Kawaida tu
View attachment 3672989
View attachment 3672990
View attachment 3672991
πΉπΉπΉπΉπΉ Cheka manondo ndo wapi?Hahahaha, mtu yupo cheka manondo huko.
Then anadai yupo Amsterdam ila JF bhana ππππΎ
πΉπΉπΉπΉ em nipe hilo bomu nikushikie litakulipukia coca..!!Thubutuuu, hunipatiii πππ
Kuna mwenzako anatamani kunilipua, afu bomu ninalo mie, yaan mlipuaji yeye, bomu ninalo mie, wee huogopiii?
πππ
πΉπΉπΉπΉ Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?Mama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.
Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, πππ
JF ni kichaka chenye wanyama wakali..!! πΉπΉπΉJF Ukiwa serious hasa selfika, kitakulambaa, wee nata na beat tembea mbele mwendo wa ngiri, usigeuke nyuma.
ππππ
πΉπΉπΉπΉ JF haiishiwi hekahekaTena badamu batamwagiks
Nimekaa kimya sn kuepusha mengi ila naona kuna mtu amajione ye ndo bingwa
Dozee dozeee wog em kunywa maji kwanza πΉπΉπΉNatamani kungekuwa na voice note
Ulale unono, kesho uje PMNalala sahivi maana nina hasira mno
We usiwaze
Badoo, tusubiri anakuja naloJF ni kichaka chenye wanyama wakali..!! πΉπΉπΉ
Olu in olu kuna shengesha la mama mchungaji wog limenipita au bado nitulie nijionee..!!
πππSpider kanyooka na suti yake..!
Nimeona ulipomquote
Uduguu, unataka kukiwashaa mapema hivii?Mwenyewe sikutegemea π₯
Sema na mdomo wake lazima niushadadie ubuyu wake, alinichefua kweli kipindi kile..!! πΉπΉπΉπΉ
Watu wanaojifanya ma innocent humu ni wauzaji wakuu..!! πΉπΉ
πΉπΉπΉπΉNitakuita
Halafu wanaume wanaokula humu ht hawana kelele ila ambao wamenyimwa ss
Kwanza wabaya
Hela hawana
Bado wanaongea km wanawake au kijana aliyebalehe
Nasaka fursaa uduguu, πππKumekuchaaaa πΉπΉπΉ
Yaani ππππΉπΉπΉπΉ Mzee Wa Paris
Hivi nimepitwaje uduguu? πΉπΉπΉMajiraniiiiiiiiiiiiiiiiii hukuuuuuuuuuuu!!
Haya ndio mambo nayoyapendaa,
Leteee vituuu ma mchungaaaa!!!
Watu weuweeeeeeeee, watu waleee waleeee.
ππππ
Tena alikua ni davoo wa trucks za kwenda nje ya nchi.Huyo wige nasikia alikuwa hb la kwenda na kuna pisi alizipiga humu mpaka nyingine anazikataa yeye..!! πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉπΉUsipate shida ingia AL inakusaidia kutype na kusamaraizi wee unatupia hapa tu
Alooooh ππ