Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We mtoto, unakuwa hapa tunakuona, unafuta kamasi kama chata la nike, leo hii unaleta kibesi, mtahama humu, nyauba we 🤬😡🤬🤬.
😂🤣
Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana...

Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala...
 
Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana...

Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala...
Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri.

Na pia nitawapiga chabo.. haiwezekani maini haya ule pekee yako kijana.

🤣🤣
 
Sio kwa vijana wa siku hizi.
Kila siku anakuja kuomba maujanja 😂🤣

Mjukuu basi usije, kwanza nakubembeleza, utamu wenyewe wa kwangu, usikute huna burudani, unakuja nikopa nguvu zangu..
🤣😂
saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazee😅😅😅😅
 
saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazee😅😅😅😅
Mwaka wa 70+ huu toka nizaliwe, hiyo nimonia ikisikia jina langu inakimbia, kipindi cha miaka ya nyuma wagonjwa wa nimonia walikuwa wanatibiwa kwa kuitwa jina langu, au kuletwa mbele yangu, nimonia inaavyoniogopa 🤣😂
 
Back
Top Bottom