Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,743
- 50,143
Najua vizuri.Mpaka leo hujui kutofautisha picha za filter na zile za kavukavu?
Najua vizuri.Mpaka leo hujui kutofautisha picha za filter na zile za kavukavu?
Ila yangu ndo umebaki katikatiNajua vizuri.
Mguu pande mguu sawa!Ila yangu ndo umebaki katikati
Haya tupia nipo.Naweza nikatupia, ukawa haupo
Upo kweli 😂, lala mzee mwenzanguHaya tupia nipo.
Mambo ya snapuMikono kama umezaliwa mwaka 2005😍
Wadada wanaokata kucha hivi huwa nawakubali sana, hongereni sana .
Pamoja na umri kusogea, bado sijaishiwa uwezo wa kuona vitu vizuri 😜
Roho haikongi...roho mgeniPamoja na umri kusogea, bado sijaishiwa uwezo wa kuona vitu vizuri 😜
Anyways, wacha tuwahi ibada 🤗
ThanksWadada wanaokata kucha hivi huwa nawakubali sana, hongereni sana .
Koh Koh .......Roho haikongi...roho mgeni
Yan hapo kwenye kucha , nikiona mtu anazo natamani nizikate fasta 😅Thanks
Sibandiki kucha, wala sifugi kucha. Wala sibandiki makope (haya ndio naona km uchafu) 🤢. Na nywele ndio kabisa...kheri ninyoe...siwezi tafran
Diaspora ya watu wa mboka naona inaongezeka..Homeboy tukowengi humu watu wa mboka manyema.
Inasikitisha sana, usikute jamaa Razor atamfunga Negan lin yuko bize na Efutiboli hajali yanayoendelea..Kaka SK(Razor atamfunga Negan lin) kuna mtu yupo serious na shemeji huku 😂
Wakuu shemeji anaimbishwa huku 😂😂😂
Intelligent businessman dosho12 adriz The Consigliere Edo kissy
Na halali kabisa, sema wamekutana mume mcheza eFootball mke mcheza DLS 😂Inasikitisha sana, usikute jamaa Razor atamfunga Negan lin yuko bize na Efutiboli hajali yanayoendelea..
Mzee mwenzangu, usiniambie kuna jambao zuri limenipita!!Pamoja na umri kusogea, bado sijaishiwa uwezo wa kuona vitu vizuri 😜
Anyways, wacha tuwahi ibada 🤗
Ilikuwa ni hatari Mzee mwenzanguMzee mwenzangu, usiniambie kuna jambao zuri limenipita!!