Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Meji enu anatakiwa na Amanda wa kiume.
Woiiiiih
Tutavamia kama mad max wa bei ya jioni kuchafua hali ya hewa πŸ˜‚

Uzuri sisi tunaamini shemeji yetu anajua kujilinda na kamata nchinje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kaka SK(Razor atamfunga Negan lin) kuna mtu yupo serious na shemeji huku πŸ˜‚

Wakuu shemeji anaimbishwa huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Intelligent businessman dosho12 adriz The Consigliere Edo kissy

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaniii? Wee huogopiiii?
Nisikilize coc nisikilize kwa umakini mi SIJAWAHI OWA, na sikia na mpango huo hivo we sikupangi love is really, nmetoa miaka minne anae kutaka akuowe ikiisha Sito kua na break baby you know how twin birds fly the heaven during day, I think I will be me and you and it will look awesome, love baby mwaaaa chaowww

Fullstop, kwishaaaaaaaa
 
Miaka 4 si tayari ntakua na watoto juu? Utakubali kuanza game ikiwa tayari usha fungwa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tutavamia kama mad max wa bei ya jioni kuchafua hali ya hewa πŸ˜‚

Uzuri sisi tunaamini shemeji yetu anajua kujilinda na kamata nchinje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili neno kamata nichinje is from Tabora.

Nimekumbuka hizo memories rafiki angu ommg alipenda kutumia huo msamiati kwa mabinti walaini na wanao tunuku watu kirahisi rahisi bila kutumia muda Wala nguvuuuuuuuu nyingii
 
Mbna mad max wa Kikuu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mejii una heka heka weyeee!! Woiiiiiih
Hii mbegu ya temeke iliyokulia ilala shemeji, upande mtakatifu upande mtakabifu(siyo sana) πŸ˜‚

Makamata nchinje ni wengi sana naona wanakutolea udelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Miaka 4 si tayari ntakua na watoto juu? Utakubali kuanza game ikiwa tayari usha fungwa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa coc unafikiri nifanyeje, ili hali we hutak tuonane? au unatafutwa na usalama wa taifa? Niwewe tu ukitaka ata saivi you tell me tupeane location romance love ianze, sinaga show ndogo kwenye couple, utasahau hata hii jf am really sio muongo ndo MANA hata hili jina Alex ndo langu linatambulika NIDA,

Fullstop, kwishaaaaa
 
Wee sema kweliiii?!
 
Wee sema kweliiii?!
Nikufiche nini sasa, am in looove with uuuuu , unakumbuka walisema we ni me si ke, sasa Tena naona Kuna watu wanalalmika we ni shemeji yao sa nachanganyiiiikiiiwa, nmu sikilize nani sasa? Wao walisema nataka kula me mwenzangu wakimanisha we ni shoga Tena saivi naambiwa nataka kula shemeji yao au Kuna kitu unani ficha coco beibii my deedee

Fullstop, kwishaaaa
 
Back
Top Bottom