Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Astakhafirulahi😔
Alamsiki
Alamsiki
Sio kwa vijana wa siku hizi.wangu kaenda jando, hatumii viagra unamsingizia
Sio yeye, tatizo ni bariditatizo babu yangu anatabia za kifataki mno
Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana...We mtoto, unakuwa hapa tunakuona, unafuta kamasi kama chata la nike, leo hii unaleta kibesi, mtahama humu, nyauba we 🤬😡🤬🤬.
😂🤣
AsanteSo beautiful [emoji91][emoji91]
Haipo bhanaIko wap?
Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri.Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana...
Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala...
👍🏿Haipo bhana
saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazee😅😅😅😅Sio kwa vijana wa siku hizi.
Kila siku anakuja kuomba maujanja 😂🤣
Mjukuu basi usije, kwanza nakubembeleza, utamu wenyewe wa kwangu, usikute huna burudani, unakuja nikopa nguvu zangu..
🤣😂
si amfate bibi tu jamn mbona simpo🤗Sio yeye, tatizo ni baridi
Yaani sisi na baridi huwa ni tofauti kabisa na Uzee huu 🤗
Umewahi kuona wapi gari bovu likavutwa na gari bovu Mjukuu 😜si amfate bibi tu jamn mbona simpo🤗
Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... 🤣Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri.
Na pia nitawapiga chabo.. haiwezekani maini haya ule pekee yako kijana.
🤣🤣
Mwaka wa 70+ huu toka nizaliwe, hiyo nimonia ikisikia jina langu inakimbia, kipindi cha miaka ya nyuma wagonjwa wa nimonia walikuwa wanatibiwa kwa kuitwa jina langu, au kuletwa mbele yangu, nimonia inaavyoniogopa 🤣😂saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazee😅😅😅😅
Gari bovu, huvutwa na nzima mjukuu 😂🤣si amfate bibi tu jamn mbona simpo🤗
Usifanye hivyo kijana.. 🤣😂Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... 🤣
hivi nyinyi wazee mbona mmechangamka hivyo😅😅😅 kubalini tu mmezeeka msije kufia kwenye vifua vya watu alaaUmewahi kuona wapi gari bovu likavutwa na gari bovu Mjukuu 😜
Mng'ao 100%Asante
umesahau na ya kahawaPesa ya ugoro na tumbaku sahau... 🤣
ebu huko na nimekurecord bibi akifika tu nampa ushahidiGari bovu, huvutwa na nzima mjukuu 😂🤣
KiajeMng'ao 100%