cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Hii case ishakua ngumu, hebu fanya utafiti ili ujipatie uhakika, afu uniambie.Nikufiche nini sasa, am in looove with uuuuu , unakumbuka walisema we ni me si ke, sasa Tena naona Kuna watu wanalalmika we ni shemeji yao sa nachanganyiiiikiiiwa, nmu sikilize nani sasa? Wao walisema nataka kula me mwenzangu wakimanisha we ni shoga Tena saivi naambiwa nataka kula shemeji yao au Kuna kitu unani ficha coco beibii my deedee
Fullstop, kwishaaaa
😂😂😂😂😂



