Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,393
- 94,712
Umenifananisha mi ni MGENI humu, naitwa bro alex SIJAWAHI sajili I'd tofauti na hii, and this is my really name ALEX au NMEKOSEA njia sio Mimi ulie ni target mkuu
Fullstop, kwishaaaaa
Umenifananisha mi ni MGENI humu, naitwa bro alex SIJAWAHI sajili I'd tofauti na hii, and this is my really name ALEX au NMEKOSEA njia sio Mimi ulie ni target mkuu
Fullstop, kwishaaaaa
Kwani mama Razor atamfunga Negan lin a.k.a cocastic ana semaje🦅😂Kaka SK(Razor atamfunga Negan lin) kuna mtu yupo serious na shemeji huku 😂
Wakuu shemeji anaimbishwa huku 😂😂😂
Intelligent businessman dosho12 adriz The Consigliere Edo kissy
🤣🤣🤣 hebu niione.Eti babe, mie nina sura ya kupendwa, si umenionea huruma tu 😂
Mbona sijaona🙆♂️Amanda wangu, kwani hunijui...
Haya chungulia matatizo yako ya ujanani, ukubwani, uzeeni mpaka kifo kitutenganishe
Mimi sijamuona aiseeh🙆♂️Mumeo mu-hanshamu una haki umlinde 😹😹😹
Tena kapita naked haina kujiziba..!!
Ngoja kwanza niioshe 😂🤣🤣🤣🤣 hebu niione.
Ulikuwa wapi, nilikuwekea kamtu kako kenye sura PASONO 🤣😂Mbona sijaona🙆♂️
Mimi ni mweupeeeee ila wanawake weusi/ maji ya kunde sijawai wa elewaaaa abadaniiii😂😂😂😂
Mie hata mwanaume mweupe race tofauti na ya huko mamtoni, simtakii, sijui naonaje? Binafsi namuona km mwenzangu tyuuh, watanisamehe.
Sasa nikikaa na brooh na dogo, huwa nawaulizaga hivi wachumba zenu wanawapendea nn? Sijui hata bangi ya wapi natumia.
😂😂😂😂😂😂
Mimi ni mweupeeeee kiasi nikiwa maskani Huwa naitwaga brother White.😹😹😹 Ukitua unifate na dadaako, kwanza nikuulize kule wanaume wa kibongo wana vibibi vyao vya kizungu, kwahiyo na mimi inatakiwa niwe na kibabu cha kizungu? 😹
Em kwanza nieleweshe mi ninavyoogopa zile rangi si ntazimia jamani..!! 😥
Tena wale wazungu wenyewe asilia wanavyotisha lol..!! 😹

Nilikuwa mahangaikoni.Ulikuwa wapi, nilikuwekea kamtu kako kenye sura PASONO 🤣😂
Ushamaliza?Nilikuwa mahangaikoni.
sameja ushazima?
🍔 Hamna namalizia malizia hapa NDOGO MOJA THEN NIENDE HOME 🏠sameja ushazima?
mpka muda huu si ushamaliza kreti zima🍔 Hamna namalizia malizia hapa NDOGO MOJA THEN NIENDE HOME 🏠
nipo tupia chapUpo niweke self yangu moja for uuu