Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzigo mzito huu,tunafikaje tunapoelekea?
IMG_20190917_174557_285.JPG
 
Sorry naweza kutengeneza gif ya pilau na kachumbari? just asking... Halafu niiweke kwenye motion picture ya fast and furious?
zipo app nyingi tu google store zinazoweza kutengeneza GIF. kwa mfano mimi natumia app inaitwa gif maker. haina complications, user friendly app.

but make sure umerokodi video katika format nzuri na quality ya video iwe kubwa ili hata ikiwa complesed kwenye gif , ubora ubaki kuwa juu.

View attachment 1284605
 
eti down to the earth,, hata mie nikilewa nakuwa sina aibu kabisa huwa naongea vibaya hovyo lakini uzuri ni kwamba nikirudi kuwa sober huwa nakumbuka yote niliyoyaongea..
Haha unaropokwa au sio...dah me siongeagi, cha zaidi nitageuka Shakira kama sio Ray C 😂😂😂 afu usingizi + ...... If u know u know 💃
 
Back
Top Bottom