ninapokuwa safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini huwa napenda sana kupiga picha kila nikifika eneo hili la sao hill forest mafinga.
miti mizuri na ile general weather ya hapa ni kivutio kikubwa sana kwangu.
tazama hii GIF.
View attachment 1284593
Hata sina picha yeyote meshare one of ur best pic if u dont mind
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sorry kwahiyo hata ukiwa uwanjani unaweza kufanya hivi!? Yaani gif ionekane wewe ni rough rider?
Yeeeees napita kuteremka nyumbanininapokuwa safarini katika mikoa ya nyanda za juu kusini huwa napenda sana kupiga picha kila nikifika eneo hili la sao hill forest mafinga.
miti mizuri na ile general weather ya hapa ni kivutio kikubwa sana kwangu.
tazama hii GIF.
View attachment 1284593
panavutia sanaYeeeees napita kuteremka nyumbani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sorry kwahiyo hata ukiwa uwanjani unaweza kufanya hivi!? Yaani gif ionekane wewe ni rough rider?
MKE WANGU NIMEMUOA WIKI YA PILI SASA ANASEMA TUTAFUTE WATOTO HATA SIJUI TUNAWATAFUTAJE.
ushauri jaman...
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]from FB
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MKE WANGU NIMEMUOA WIKI YA PILI SASA ANASEMA TUTAFUTE WATOTO HATA SIJUI TUNAWATAFUTAJE.
ushauri jaman...
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]from FB
zipo app nyingi tu google store zinazoweza kutengeneza GIF. kwa mfano mimi natumia app inaitwa gif maker. haina complications, user friendly app.Dah.. Nifundishe
Chumaulete inalipa sana[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
zipo app nyingi tu google store zinazoweza kutengeneza GIF. kwa mfano mimi natumia app inaitwa gif maker. haina complications, user friendly app.
but make sure umerokodi video katika format nzuri na quality ya video iwe kubwaili hata ikiwa complesed kwenye gif , ubora ubaki kuwa juu.
View attachment 1284605
Many died yesterday, some died today [emoji25]If you are still holding your phone right now you should Thank God for keeping you alive[emoji120][emoji173]"
#JogooView attachment 1284606
Nmedumisha mila....kimasai chetu[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]kwahiyo ndiyo umeamua uandike kwa kimasai ili nisielewe??
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hii app iko vizuri mno aiseee