sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,149
Nani huyo? Au ni @karma
Ngoja tumuite mwenye nayo
Ngoja tumuite mwenye nayo
Unakumbuka enzi za negativu mkuu,ile ya ya kwenda studio unaenda kusafisha picha ,basi ngoja nikaisafishe hii mkuu hahahaAmbition plus View attachment 1284667
My [emoji1780],.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]my Bonnie, my partner in crime, my [emoji73]
Dah Depal kumbuka kutunza ahadi plz nitakua wa kwanza kukumbushaHahaha wakishinda me natoa emojView attachment 1284677
mekumisi [emoji73] hadi nikakatuma katoto ka jirani kakuletee barua yangu, sijui kama kamefikishaMy [emoji1780],.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mchana mwemaUsiku mwema.
Mekuhamu pia dear!!mekumisi [emoji73] hadi nikakatuma katoto ka jirani kakuletee barua yangu, sijui kama kamefikisha
Naiba upendo huu mwambie mtu8 namsalimiaMy [emoji1780],.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Oooh great...sasa ni muda wa wewe kufungua [emoji181]with [emoji3589]nakuisoma [emoji73]Mekuhamu pia dear!!
Katoto kamechelewaa kalikuwa kanacheza njiani! Tho kamefikisha salama kabisaa my dear!
Aluuuuuuuuuuuu kuna watu mmebarikiwa uzuri jomani ,
Wachaaa.
Hahahah...love n peace baba paroko (sijui nimepatia)Naiba upendo huu mwambie mtu8 namsalimia
Mkuu kama yupo period mkuu wewe si ulianzishaga uzi ule wa sodoma
Nimekuja eti nimesikia umeniitaNgoja tumuite mwenye nayo
Nitarudi hewani baada ya game ya man u vs man city kuisha
AimennnDah... That's Jr's young sissy