Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole, msuka mipango mwenzio kakuumbua mapema kabisa.!! Niwatakie jpili njema na mipango mema. Una lingine?? Naomba leo maliza yote unayotaka kusema sababu baada ya hapa sitakuwa na muda wa kukujibu tena.!!
Kumbe unavuta bangi? Aiseeeee
 
Hunielezi chochote we masikini....
Nikimuita mtu masikini, ujue nimekushusha daraja ya chini kabisa...

Bro tafuta pesa acha ku download picha na ku tu fool hapa eti una pisi kali.. Bob Marley alisema
You can fool some people some times but you cant fool all the people all the time...


HApa watu wana wa zoom tu wanawaona kama ma zuzu flani....

Tafuta pesa upate mwanamke mzuri uwe unapiga picha za uhalisia acha ku pretend Bro....
Nilijua lazima utachanganyikiwa, unaona ulivyoanza na unavyomaliza? Hapo ndio kuvurugwa sasa
Kila muda nakuuliza wenzako watatu wapo wapi? Na kwa nn hutaki kujikubali? Mbona wenzio wanajikubali na maisha yanaendelea? Ushoga ni mbaya, ila imeshakua hakuna namna jikubali uwe na amani, lakini hii kuingia mtandaoni kuanza kuonea wengine wivu ni ujinga
 
Ulikua unajitia kumuita huyo coca aku support, amekukataaa....
Inadhihirisha uongo wako, ukisha fake tu picha hapa... kila mtu anajua huna lolote....

Sasa mzee hebu nibariki na selfie moja ya ku download mchana wangu ukae vyema..
Wee nae em utulie jamani, kila siku kugombana na watu tyuu.
Si uwaache wao na mambo yao ya couple!! Aaaah
 
Nilikuambia nachokijibu nakijua, na wala hili sidhani kama lina mjadala

Kuhusu faraja, hata mm niliikosa na kuipata kwako hivyo hivyo na ww wala haihitaji kukanusha na kutafuta ushahidi kwenye hili ikiwa ukweli unajua. Na sio dhambi, binadamu wote hupitia hiyo hali kwa kipindi flani, kukataa ni kujaribu kuuficha mnazi ndani ya nyumba
Nyie wapumbavu, nendeni PM. Mnatuharibia uzi wetu.
 
Ulikua unajitia kumuita huyo coca aku support, amekukataaa....
Inadhihirisha uongo wako, ukisha fake tu picha hapa... kila mtu anajua huna lolote....

Sasa mzee hebu nibariki na selfie moja ya ku download mchana wangu ukae vyema..
Naona unajipa moyo, ww umeambiwa jikubali
 
Back
Top Bottom